Recent content by mkokotoaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Chuo Kikuu Mzumbe na IFM zimejaa Siasa, Wahitimu wa hivyo vyuo wengi ni Vilaza

    Bro unatumia nin kufikiri Nina mashaka na elimu yako usidharirishe taaluma za watu mh sitta Alisoma Mzumbe makinda na viongoz wengine wakubwa wamesoma mzumbe tuna wasomi wengi kuliko shangazi zako waliosoma hapo Think Globally act locally!
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    You risen on studpity system that's always you support stupidity this country is for Tanzanian not for ownership or single group
  3. M

    JamiiForums Tanzania Saidia maendeleo jimbo la Kalenga

    TUSADIE MAENDELEO YA JIMBO LA KALENGA. Wadau Mimi ni mwanainchi wa Jimbo la tajwa hapo juu,naomba kwa Hali na Mali tusadie maendeleo ya Jimbo kwa kuhakikisha maji salama,afya na kuwasisitiza viongozi wetu kuona umuhimu wa huduma za afya na maji hasa kwa Mbunge wetu kutembelea Jimbo hili na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Siwezi mhukumu Kikwete, yeye mwenyewe ajihukumu. Magufuli anafanya vizuri baadhi ya maeneo

    naamin lowasa ni kiongozi bora mwenye utashi na falsafa imara mweledi mwanasiasa ambaye ana fikra sahihi za ukombozi wa nchi hii
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wito Kwa Wapinzani Wakweli; Msishiriki Msijadili Chochote kuhusu Zitto Kabwe

    Kwa muda mrefu watu wasio Takia Mema Umoja Wetu na UKAWA wamekuwa wakitumia nguvu nyingi na weledi mdogo kupambanisha fikra sahihi na wasaliti kwa kuendleza siasa za majitaka Mimi nawaita wenye fikra ndogo wakijaribu kupambana n falsafa ya ukombozi kwa kuturudisha nyuma tuwakumbushe wanainchi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Dr slaaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mwandishi wa habari nisingeitikia wito wa kwenda Ikulu

    A cha chuki binafsi kinakuuma nini we ndo TRA serikali yako dhaifu ndo imeshindwa kukusanya kodi ningekuona wa wa maaana ungeikosoa serikali dhaifu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kwa taarifa fupi Flelimo Iringa chadema wameongoza mitaa 3 ..kata ya Ilala chadema pia wanaongoza stay tuned
  9. M

    JamiiForums Tanzania JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Mkuu tupia hyo report tuione mapema weka mzigo mezani
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr slaaa the legend
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tuamke tuzinduke tuwambie wanainchi ukweli.

    Kiukweli kama kijana wa nchi hii nimesikitishwa na mchakato huu wa katiba iliyopendekezwa.binafsi nimeamua kuandika machache kwa kalamu na wino.naandika haya nikililia nchi yangu yenye maziwa na asali lakini wachache wanajinufaisha eti kisa wingi wao bungeni.tuamke tuzinduke tuwaelimishe ukweliv...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba
  13. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kamati ya Uandishi ya Katiba iliyoteuliwa kuandika Katiba itakayokabidhiwa kwa Sitta leo

    Tanganyika yetu itabaki pale pale hatuna muda wa kupoteza kuiunga mkono katiba ya wachumia. Tumbo n chama chao cha mapepo@ccm....kitaelewka
  14. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa vijana wazalendo wa vyuo vya elimu ya juu Dar walaani kauli za mwenyekiti CHADEMA

    Nyie kunguru tena msojitambua mmeshikiwa akili kwa taarfa yenu rudini darasa la tano mkajifunze elimu ya Uraia na haki za RAIA.maandamano ni haki ya raia na katiba inambua haki hyo.
Back
Top Bottom