Recent content by Mkojologist

  1. M

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Ah Kweli hii ni kutafuta attention........na issue ya kutumwa mtu kariakoo kwa ajili ya cartridge should not be ruled out.
  2. M

    Hukumu ya Lissu - Jisomee mwenyewe

    Division ndiyo hutumika kama kipimo cha ufaulu wa mtihani na huakisi uelewa wa mtu(akili). Hivyo suala la div1 ndiyo akili nakubaliana nalo na iwapo imepatikana kihalali. Suala la laki 7 kwa div 1 na 6M kwa div 3, hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mshahara na division,pia mshahara...
  3. M

    Bingu Mutharika afariki rasmi

    RIP Bingu..Je ni kweli alistahili kufa Good friday ambayo waamuni wa kikristo wa malawi wanaomboleza kukumbuka kifo cha Yesu kristo? I doubt.
Back
Top Bottom