Recent content by Mkito.com

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kudownload nyimbo za kibongo katika android

    Website pekee Tanzania inayowalipa wasanii kwa kazi zao ni Mkito.com. Unaweza kununua wimbo kwa sh 250 tu au unaweza kupakua nyimbo bure. Nyimbo za bure zinaambatana na matangazo mafupi ya kibiashara ambayo yanakuwa yanamlipa msanii. Msanii anapokea 60% ya mauzo. Utaona blogs nyingi sasa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Young Killer akiwa na Banana Zorro - Umebadilika

    YOUNG KILLER bado ni msanii mchanga lakini mambo anayofanya ni makubwa. Kazi zake zimekuwa na ladha tofauti sana na ambacho tumesikia mpaka sasa kutoka kwa wasanii wa Hip Hop hapa nchini. Mfano mzuri sana ni hii kazi yake ya mwisho iitwayo UMEBADILIKA ambapo amemshirikisha Banana Zorro...
Back
Top Bottom