MPINA ANAFANYA RESEARCH NA ANAO USHAHIDI WA KUTOSHA, KWA HIVYO HAOGOPI. NI VIGUMU KUUPINGA UKWELI ULIO NA USHAHIDI, WAKIJARIBU WATAJIABISHA. SAKATA SUKARI AKIWASHINDA NA AKIPIGAKA KWENDA MAHAKAMANI AKAZIMWA NA BOSI WA BASHE AMBAYE SIO RAISI. MPINA ANAPATA DATA ZOTE VIZURI, LAKINI NAYE KAIFANYA...
Nyerere alikuwa na dosari zake, lakini Nia yake ilikuwa nzuri, NI Raisi pekeye TZ aliyeondoka madarakani akiwa Hakujitengenezea au kujibambikiza Mali. Lakini sijui kwanini tunailaumu Zanzibar, Sultan Tumempindua Sisi, Karume na maraisi wao Wote tumewaweka vitini Sisi, Znz tumeishikilia na...
Rafiki wakubwa wa Gadafi wa kiafrika walikuwa Maraisi WAKRISTO, na nchi alizozisaidia nyingi zina idadi kubwa ya wakristo, k.m. Mugabe & Zimbabwe, Museveni & Uganda, Kibaki/Uhuru & Kenya, na hatujaona akiwashawishi kuingia uislamu. Hizo zilikuwa fitina za Nchi za Magharibi. Tuatacha lini uzembe...
Swali jee utafiti umefanywa kuhakikisha hivyo virutubisho ni vizuri kwa watoto wetu, visine kuwa na Virutubisho vya kujenga marekebisho ya JINSIA ya Vijana kuwa vinginevyo. Maana siku hizi kuna hila za kupunguza idadi ya watu, haswa barani Africa
Sio unafiki, kila mtu ana mazuri na mabaya take, ukiwa Hai unapewa za usoni kuhusu ubaya wako WOTE, siku ukifa uzuri uliozikwa miaka Kenda unafukuliwa. MZANZIBARI NAWE WACHA UNAFIKI JITINGE KWENYE UKWELI
Wacheni ujinga na unafiki, Leo Lowassa katangulia WOTE tunampaka maradhi na kumfukiza Udi. Tuache unafiki. Lowassa alikuwa KIONGOZI mzuri lakini alikuwa na makandondo yake.
1. Lowassa Akipokuwa PM, alikuwa mla Rushwa Mkubwa Sana hata akapewa jina la MR 10%.
2. Aliua watu KISIASA haswa wake...
Wacheni ujinga na unafiki, Leo Lowasa katangulia WOTE tunampaka maradhi na kumfukiza Udi. Tuache unafiki. Lowasa alikuwa KIONGOZI mzuri lakini alikuwa na makandondo yake.
1. Lowasa Akipokuwa PM, alikuwa mla Rushwa Mkubwa Sana hata akapewa jina la MR 10%.
2. Aliuwa watu KISIASA haswa wake...
Ndugu kama unataka kufananisha udhalimu WA viongozi WA kidini, basi ukae ukijua HAKUNA VIONGOZI WA KIDINI MATAPELI , WASHARATI, MALAYA, WAONGO, WANAFIKI NA WAUWAJI KAMA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI NA VIONGOZI WA BAKWATA, hao wanabeba kombe kila mwaka. NINA ZUNGUMZIA VIONGOZI NA SIO WAUMINI
Wewe NI Kunguni Uliyeiva na karibu utapasuka kwa uvinbe WA ujinga na uzembe. Naitambua michango kwa muda mrefu na mingi NI ya ovyo ovyo . Mbowe haogopewi Bali anastahili heshima kwa sababu naye anaheshimu watu na anajiheshimu period.
Tundu Lissu akifanikiwa URaisi, ataiingiza Tanzania kwenye Historia ya Dunia na Gueness Books of Record, kuwa Nchi ya Kwanza Africa kuteuwa Mawaziri MASHOGA, na ata Bariki na kuifanya Sheria ya NDOA ZA NJISIA MOJA kutumika TZ. Pia ataueneza ukabila, kwani hatateu Waziri au KIONGOZI yoyote mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.