Recent content by Mkiramussa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya CCM kupigwa kwenye mshono, sasa yajipanga kumvua uanachama Humphrey Polepole

    Wamtoe tuu sababu mtu ukiwa nae safari moja ghafla akaamua kuacha makubaliano sio mwenzio huyo
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Umeme hapa moshi unakatika katika sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jiji au kijiji kikubwa?

    Mimi nataka kuuliza hivi Moshi ipo Tanzania au nchi nyingine Maana toka tusajiliwe kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu lakini Vitambulisho hatuzioni Tukiwauliza NIDA hapa moshi wanasema tusubiri tutatangaziwa kama tulivyotangaziwa wakati wa kujiandikisha...
Back
Top Bottom