Mkiramussa
New Member
- Feb 2, 2019
- 3
- 3
Mimi nataka kuuliza hivi Moshi ipo Tanzania au nchi nyingine Maana toka tusajiliwe kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa sasa ni zaidi ya mwaka mmoja na nusu lakini Vitambulisho hatuzioni Tukiwauliza NIDA hapa moshi wanasema tusubiri tutatangaziwa kama tulivyotangaziwa wakati wa kujiandikisha wamemaliza na majibu hayo tulipewa mwaka wa Jana mpaka leo hii hatujui hatima yetu na mahitaji ya vitambulisho hivyo yamekua yakiongezeka siku hadi siku Maana sasahivi hata laini ya mtu ya simu ikitokea hitilafu yoyote huwezi kuhihuhisha yani ku renewed sasa hayo si mateso tunashindwa kupata haki zetu Naomba wanaojua wahusika wakuu wa serekali wanao shughulika na NIDA watufikishie ujumbe