Recent content by Mking

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kujiunga kidato cha 5 mwaka 2018/2019; Mwanafunzi mwenye umri zaidi ya miaka 20 kutodahiliwa

    Hizo ndizo fikra za baadhi ya viongozi wa kitanzania katika ulimwengu huu wa kisasa wenye kuhitaji ukuzaji nkubwa wa kifikra na wao wapo katika kudumaza fikra zilizo pevu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Utumishi Portal

    Jiunge na salary slip portal
  3. M

    JamiiForums Tanzania Njia pekee, rahisi na ya uhakika ya kuingia JWTZ

    Hiyo njia unayoitaka wewe haipo suala zima ni kupitia JKT kwanza
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Marekani juu ya maamuzi ya Dunia ni upi?

    Kwa kipindi kirefu mno nimejaribu kitafakari na kujiuliza mamlaka ama nguvu ya nchi ya marekani ni ipi...???? 1.Kwa luamgalia mifano mifupi tu kama maamuzi ya mji wa JERUSALEM,, 2. vikwazo dhidi ya NORTH KOREA juu ya utengenezaji wa nyuklia angali yeye anavyo kama alivyofanya kwa IRAN...
Back
Top Bottom