Kama ilivyokuwa kwa Lowassa na wapambe wake ndani ya CCM, Dr. Slaa naye hajaridhika na mchakato ndani ya CHADEMA. Kama ilivyokuwa kwa Lowassa, Dr. Slaa na wafuasi wake nao vivyo hivyo wana haki ya kuachana na CHADEMA.
Kama kuondoka kwa Lowassa kumeikosti CCM, kuonda kwa Dr. Slaa hakuwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.