Recent content by Mkimbizi99

  1. Mkimbizi99

    Vurugu Kituo cha Mwendokasi Kimara Temboni, abiria ashambuliwa

    Hili tatizo Litahamia njia ya bagamoyo siku za usoni
  2. Mkimbizi99

    Kuna jamaa yangu ameenda kwa mganga ili kuwekwa sawa kwa ajili ya kupata hizi kazi za TRA.

    Muache apambane anavyoweza, huwezi jua anayopitia kwenye utafutaji wake juani😄 jua ni kali asikuambie mtu😆
  3. Mkimbizi99

    TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

    Siku hizi dhambi ya mauaji imekuwa ya kawaida sana kama uzinzi tu
  4. Mkimbizi99

    Hii ni upendo au ni nn wadau

    Badala ya kuumizwa na hali ya uchumi uliyonayo, unaumizwa na mkeo kutumiwa pesa ya kula akati wewe umeshindwa kulisha familia
  5. Mkimbizi99

    KERO Responded Nimepata huduma mbovu kutoka kwa Mfanyakazi wa NHIF - Dar, imebidi Kiongozi wake wa juu aingilie na kuniomba radhi

    Na mara nyingi hivi vifanyakazi vya chini ndo vina nyodo ukipelekwa kwa wakubwa juu ni wanyeyekevu sana!
  6. Mkimbizi99

    KERO Vipaza Sauti vya Karume vimekuwa kero kwa kelele, Serikali ichukue hatua

    Kweli kabisa sijui wanashindaje kutwa nzima na hali ile
  7. Mkimbizi99

    Wanaume mnaovaa hivi chukueni maua yenu

    Imagine mkeo anachepuka kisa kapata jamaa anavaa hivi et analook sexy 😄😄😄 sema akili za kike ni vichekesho!
  8. Mkimbizi99

    Mpenzi wangu hajibu sms zangu, na nikienda kwake ananihoji kwa nini nimeenda?

    Kuna umri ukifika huwezi kabisa kuteseka na vitu kama hivi, huenda ndo muda wako huu wa kuteseka usivuke stage we teseka tu
  9. Mkimbizi99

    WANAWAKE wa BONGO, wengi wanaongoza kwa kufanya biashara zisizo kuwa na TIJA.

    Mwanaume anayefanya hivo ni mzembe na hana maono mazuri juu ya biashara! Once ukishafungua biashara baada ya muda biashara inatakiwa ijiendeshe yenyewe na sio kutoa pesa mfukoni ili kuiendesha. Ukiona umemfungulia hawala biashara na anashindwa hata kumudu operation cost kama kodi mpaka pesa...
  10. Mkimbizi99

    Wanawake zama hizi kucheza kwa kubinua na kutikisa makalio kuna namna wanaume tumefeli au ni mashetani yao tu?

    Nafikiri nyie wanaume ndo mnasababisha hii hali inazidi kudumu na kukua kwa kasi, maana wanacheza hivo ili kuwawinda nyie na mnawindika kwelikweli😄, anyway binafsi naonaga kama wanapandwa na maruhani/mapepo wanahitaji maombi hao
  11. Mkimbizi99

    KERO Responded Gharama za Kujifungua Hospital ta Taifa Muhimbili MNH (Mloganzila) ni kufuru

    Kuna mtu alipewa rufaa mloganzila akakaa masaa kadhaa akafariki, walikuja kuzuia maiti mpk bill ya dawa alizotumia mgonjwa 2M ilipwe. Dawa zenyewe aliandikiwa ila hazikutumiwa ndipo mgonjwa akafariki. Hii nchi ukishakuwa maskini ni mateso tupu
  12. Mkimbizi99

    Sitosahau siku nilipomuona mwalimu wangu anatoa machozi baada ya kupokea barua ya kufukuzwa kazi!

    Kwakweli hakuna kitu kinaumiza kama unaamka kila siku asubuhi na Huna pakwenda, Huna mchongo hata wa kuusikilizia na familia inakuangalia wewe, kama hujawahi pitia hii hali usiombe kabisa ikutokee..
  13. Mkimbizi99

    SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

    Mtu yeyote ambae anatumia matusi kama suluhisho la matatizo yake namuona kama Ana matatizo ya akili kwakweli! Hapa najiuliza kwahiyo anavotukana hivo anasolve tatizo kwa namna gani??? Naomba nieleweshwe kwa yule anayemuelewa..
  14. Mkimbizi99

    Mficha maradhi kifo humuumbua!

    Bado sijapata kazi ndugu zangu, najua kuna watu wanaweza nisaidia humu ndani, msinichoke tafadhali🫣
Back
Top Bottom