Recent content by mkimagii

  1. M

    Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Habarini ndugu Ni mda sasa toka hili janga la kirusi cha Korona limekuwa linajadiliwa na kuzungumzwa hapa jamiiforums na sehemu mbalimbali. Hivi karibuni tumeshuhudia ndugu zetu wachache wamegundlika kuupata huu ugonjwa. Lengo la hii post nikujaribu kukusanya mawazo kutoka kwa wadau hapa...
  2. M

    Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    Mkuu, sifa ya mtu mjinga siku zote "nikujikweza" kwamba anajua kila kitu na kuona watu wengine kwamba sio kitu. Kwenda shule na kupata certificates sio kipimo cha mtu kwamba ameelimika maana kuna factors nyingi zinaweza kusababisha mtu kufika hapo alipo. Kipimo pekee ni uwezo wa mtu kuonesha...
  3. M

    Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    Mkuu, nadhani umeandika vitu ambavyo sio ukweli. Mh. Waziri alisoma Diploma ya Uandishi wa habari hapo University of dar es salaam mwaka 1977. Alianza kufundisha USDM 1984 kutokea kwenye nyazifa mbali mbali serikalini Na sio kwamba eti kwasababu alikuwa na uwezo mkubwa kiakili au GPA kubwa ndio...
  4. M

    Biashara ya Dhahabu

    Habari wakuu, Naomba kujua bei ya jumla ya dhahabu 24k kwa gram. Nataka kuchukuwa kama 300 grams. Asante
  5. M

    Sakata la Korosho,nini kifanyike?-Mjadala.

    haha umenichekesha sana mkuu
  6. M

    Sakata la Korosho,nini kifanyike?-Mjadala.

    “Mkataba huo ulifikishwa kwenye ofisi ya mwanasheria mkuu, umepitiwa,tumeridhika,mkata huu imekidhi hatua zote za kisheria na ushahidi wote ulio takiwa kufanyika”. Haya ni maneno ya Waziri Prof. Kabudi wakati akitia sign mkataba na kampuni ya Indo power ya Kenya kununua korosho kwa Tshs...
  7. M

    Nini kinaendelea juu la gawio TTCL?

    Habari mkuu, Baada ya gawio la TTCL kwa Serikali siku ya leo,kumekuwa na baadhi ya watu wanasema kwamba sio vyema kugawa gawio wakati huo huo TTCL wanaitaji pesa. Lakini upande mwingine,kumekuwa na watu wanasema kwamba Ugawaji wa gawio wa TTCL ni jambo lakujivunia maana linaonesha uwajibikaji...
  8. M

    Sakata zima la Korosho

    Punde tu baada ya kubahatika kuona press conference ya Prof. Palamagamba Kabudi, waziri sheria na katiba-Tanzania na mnunuzi wa korosho ndugu Mutembei toka kampuni ya INDO power solutions-Kenya nilifarijika sana. Mununuzi ameweza kununua korosho tani 100,000 kwa Tshs 418 billion.Hii ni sawa na...
  9. M

    Soko la Dini Tanzania

    Kutokana na maendeleo ya sayansi ya teknologia Tanzania,Dini zimeanza kutumia internet sawia na mashirika ya kibiashara kujitangaza. Hivi viashiria vimepelea watu kusema kwamba " dini zimekuwa biashara". Hii ndio sababu imenipelea kuchunguza hili swala kama ilivyo hapo chini. Soko la dini...
  10. M

    Tetesi: Ongezeko la masharti ukitaka kufungua akaunti ya Benki lazima kuongezea kiapo cha mahakama licha ya kuwa na vitambulisho husika

    Nikweli kaka, nadhani labda barua iwe inatumwa moja kwa moja na mahakama kwenda kwa benki pasipo mhusika kujua ili kuepusha watu kugushi. Nashukuru sana kwa mchango wako mkuu.
  11. M

    Tetesi: Ongezeko la masharti ukitaka kufungua akaunti ya Benki lazima kuongezea kiapo cha mahakama licha ya kuwa na vitambulisho husika

    Safi sana kaka nadhani ndivyo wanataiwa kufanya kama watu wote watakuwa kwenye data base ya NIDA. Nashukuru sana bila. shaka wahusika watalifanyia kazi.
  12. M

    Tetesi: Ongezeko la masharti ukitaka kufungua akaunti ya Benki lazima kuongezea kiapo cha mahakama licha ya kuwa na vitambulisho husika

    Habari mkuu Britannica? Nashukuru sana kwa kuleta hii mada hapa jamvini, bila shaka kupitia majibu mawili matatu, watu wanaweza kujifunza kitu. Kwanza napenda kuwapongeza serikali kupitia BOT kwa kuanzisha hili zoezi. Dhumuni la kuleta huu mchakato nikutusaidia mimi na wewe kupambana dhidi ya...
  13. M

    Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

    Nashukuru kaka ubarikiwe.
  14. M

    Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

    Sifa na utukufu ni kwako Bwana Yesu. Hakika Yesu unastahili kuabudiwa wewe pekee. Ila baaada ya kuangalia hii video kuna vitu vimenichanganya. Kabla ya kuangalia hii video, nilikuwa nafahamu kwamba mtu akiwa anafanyiwa au kutolewa mapepo huwa anakuwa sio yeye tena au hajitambui. Pia mara nyingi...
  15. M

    Natabiri: Kesho tunanunua 1 USD kwa Tshs 2400 pia kama tutaendeleza ulimbukeni huu basi tuwe tayari kununua USD kwa Tshs 3000

    Habari kaka. Kutambua factors ambazo zilisababisha sarafu kubadili mwelekeo sitaweza kwa sasa kutokana na gharama ya muda na uhaba wa data. Nisingependa" kukisia au kuropoka" kama wengi wetu wanavyo fanya hapa jamvini bila kuwa na namna ya kuthibitisha. Kawaida sarafu inaweza kubadili mweleko...
Back
Top Bottom