Recent content by mkiluvya

  1. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyakazi wa CRDB afariki akifanya mazoezi Daraja la Tanzanite

    Wacha kumsimanga MAREHEMU wewe
  2. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Tunawazidi KQ kwa haya

    sawa hamieni kenya sasa 😀😀😀😀
  3. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

    Mtu ameshasema ana leseni ya kuendesha magari makubwa utawezana naye kweli…… akili za Kasongo akipata bombanya Mitaa ya Buza kwa Mpalangeeee
  4. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Paul Chacha: Wachezaji wa Tabora wanatumiwa SMS na watu wa Yanga ili walegeze mechi

    bwana yule hana muda mrefu ataungana na yule wa GPSA😀😀😀
  5. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wana CCM mnaoutaka Urais 2030, Je mtaiweza nguvu ya Ridhwani Kikwete?

    Tuendelee kupiga Kasia pwani sio mbali 😀😀😀
  6. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded CHAKUHAWATA wawageuza Walimu upatu, wagawana Tsh. Milioni 400 za Wanachama

    Usisahau kunawa mikono kwa SABUNI na maji tiririka 😀😀😀😀
  7. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Uko tayari? Dar es Salaam mpya inakuja. Serikali kutwaa eneo la mita za mraba 233,000. Maeneo ya Sinza, jirani na Mlimani City, Boko, SIMU2000 kuguswa

    Mkuu hujaona suala la UJENZI wa BRT au ndio kila kitu tunaweka mapingamizi 😀😀😀
  8. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa

    Poleni kwa changamoto Umeanza vizuri mwisho umemalizia vibaya 😀😀😀
  9. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Ahadi nyingine ngumu kutekelezeka😂😂😂
  10. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Kwamba hii ya Kuitwa mbwa haijitoshelezi 😂😂😂
  11. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Mbowe amelipongeza JWTZ kwa kutimiza miaka 60, awashukuru kwa Uzalendo Wao wakati wote!

    😀😀😀maungoni tena
  12. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Itakuwa tarehe 22/01/2024 bado haijafika utawapokea tu Mkuu
  13. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa LATRA anapata wapi nguvu ya kupingana na Rais? Serikali inakataza kufunga biashara, yeye anafungia mabasi 35 yasitoe huduma

    Kutoa ajira kwa watanzania kusipelekee uvunjifu wa Sheria nafikiri atimize Takwa la mamlaka… akili za asubuhi nikisubiri mwendokasi kimara bucha [emoji38][emoji38]
Back
Top Bottom