Recent content by MKILINDI

  1. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

    Nilikuwa na hali kama hii na imenitesa sana...ilifika wakati nikiwa nafanya mazoezi ya kukimbia naphtali muwasho mkali wa mapajani, na kwenye tumbo muwasho wa kuchoma kama sindano. Nimebadilisha kila aina ya sabuni bila mafanikio, siku nilienda hospitality kwa tatizo lingine likagumdulika nina...
  2. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga

    Tengeneza acc fake mfollow..then mtongoze
  3. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Rafiki wangu amegundua mke wake anajihusisha na usagaji. Anaomba ushauri wenu

    Kwahyo jibaba lokikukuruka linaonekana lonajisumbua tu.
  4. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kwenye maandalizi ya tendo, manii zinatoka na hamu ya kuendelea na tendo inakata kabisa

    Acha nyeto, acha kuangalia ngono. Stay fam. Fanya mazoezi, kula vizuri.
  5. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini walimu wa shule za msingi za serikali ni wagumu sana kulipa madeni ya watu?

    Kama walimu wa sekondari ni wepesi kulipa madeni, basi kumbuka kuwa mwaka 2018 kuna walimu wa sekondari walishushwa kwenda msingi. Hili uelewe hili inabidi utafakuri sana.
  6. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole anaongea mbashara kupitia mitandao ya kijamii

    Jamaa ana hoja kubwa sana..na,anajua sana kujenga hoja
  7. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Mekanika kaniwekea Diesel Engine Oil kwenye gari langu la Engine ya Petrol. Je kuna madhara!?

    Haina shida..viscosity ya oil inaendana na age ya engine
  8. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Mekanika kaniwekea Diesel Engine Oil kwenye gari langu la Engine ya Petrol. Je kuna madhara!?

    Gari inasoma km ngapi kwenye dashboard? Kama injini imetimika sana hakuna shida ila kama ipo standard lazima gari owe underperfomance.
  9. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

    Umeamua kutuchekesha kipindi cha majonzi saa 11 ya saa 20:16 usiku
  10. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Zielewe kazi za Usalama wa Taifa (TISS) na mipaka yake

    Kama units zake hazijabadilika...zilikuwa tatu lakin nina iman hii idara inapokea maboresho kulingana na mwelekeo wa dunia ili kuendana na hali halisi. Units nilizokuwa nazijua. ni 1. VIP PROTECTIONS UNIT 2. DETECTIVE UNIT 3. INFORMATIVE UNIT Kila moja ina sifa zake za upekee.
  11. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Zielewe kazi za Usalama wa Taifa (TISS) na mipaka yake

    Deepstate.. kuna jopp lenye maamuzi kutokana na uchakataji wa taarifa.
  12. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

    Atulie kwanza TRA wachukue Chao haiwezi kubaki 58mil..then kilichobaki ndio atulize nacho akili. Ikanuwekezaji wa hela ya betting aiweke kwenye gvt compound bond..awe anavuna mshahara wake.
  13. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

    Sema pia huwa hamueleweki. Ungetoka bila kusemeshwa chochote napo ungemuwazia vibaya sana juu ya uanaume wake.
  14. MKILINDI

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Toyota Rush linauzwa

    Ila bei uloweka ya 180mil ni kubwa sana..
Back
Top Bottom