Hadi leo hujui uwekezaji unaolipa kuliko wowote?
Crypto ❌
Land ❌
Forex ❌
Invest in yourself (nunua sana vitabu na usome) anagalia youtube video za kuelimisha
Huo ndo uwekezaji unaolipa duniani kote ,kitu cha kufanya utakipata wakati unasoma hivyo
Hadi leo hujui uwekezaji unaolipa kuliko wowote?
Crypto ❌
Land ❌
Forex ❌
Invest in yourself✅
(nunua sana vitabu na usome) anagalia youtube video za kuelimisha
Huo ndo uwekezaji unaolipa duniani kote ,kitu cha kufanya utakipata wakati unasoma hivyo vitabu
Mazda CX-5 zinaelekea kuwa nyingi kama harrier na pia forster nayo the same .
Lakini Mazda CX-5 ina masharti kama mganga sijui utoe dpf mara uendeshe km kazaa kutoa huo Moshi .nk
Kwangu Mimi hizi ni gari mbadala ambazo zinafanana bei na matunzo ya Mazda na forester
1. AUDI Q5
2.Volkswagen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.