Recent content by mkeyamasai

  1. M

    JamiiForums Tanzania Genital herpes

    Watanzania wengi wanaumwa huu ugonjwa ila hawajijui,alafu vinaweza kutokea mdomoni au sehem z siri,za mdomoni wengi husema ni homa kumbe sio ,alafu mbaya mtu akiwa nazo mdomoni anaweza kukuambukiza kwenye sehem za siri endapo atakunyonya ,wengi wana genital herpes ila wanahisi ni vipele vya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua gross na net salary ya mtu mwenye basic ya 2,192,540 Tshs

    Na pia sio allowance zote zitakatwa kodi, inategemea na bajeti iliyotumika soma namba 11 kwenye attachment zimekua excluded
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama ulifanya paper ya customs officer ii TRA fungua hapa ujionee.

    Hivi ilikua lazima uonyeshe njia au ukibandika jibu umepata?
  4. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUULIZA FAVORS ANAZOPATA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    ndicho nilichoandika mkuu ,na kwa kuongezea ipo policy inayosupport watu wenye ulemavu kupewa kipaumbele kwenye ajira.
  5. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUULIZA FAVORS ANAZOPATA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Ulemavu hauchagui kabila ,hata wewe unaweza leo kuwa mzima ila kesho ukawa kilema kutokana na sababu mbalimbali kama ajali ,life experience, kiufupi hatuwezi kujua ya mbele yetu,by the way mimi sijamaanisha kua mimi ni kilema may be umeshindwa kuelewa nilichoandika hapo mwisho.
  6. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUULIZA FAVORS ANAZOPATA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    sio kweli ,favor hua ipo ,katika panel ya interview ya kuongea hua kunakuwa na yule mkuu kabisa wa hio panel ,yeye amepewa power ya kuamua mtu mwenye ulemavu aajiriwe hata kama hajafaulu na mtu asiye naulemavu akaachwa hata kama amefaulu ,cha msingi huyo mwenye ulemavu afanye interview ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu matokeo ya TRA tujiandae kisaikolojia

    kwaio unadhani hatuna kazi nyingine? ,wengine tunaingia huku kurefresh baada ya mihangaiko kutuchosha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuskim nyumba kabla ya kuweka Gypsum board?

    Sio kweli
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuskim nyumba kabla ya kuweka Gypsum board?

    siwezi mkuu ,nikiweka hapa kuna watu wanaweza kuijua id yangu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuskim nyumba kabla ya kuweka Gypsum board?

    Nimeshapiga plasta ndio na urembo wa nje na ndani,asante sana mkuu itabidi niweke fence peke yake alafu niendelee kujichanga
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuskim nyumba kabla ya kuweka Gypsum board?

    Members nawasalimu, Ningependa kufahamu kama ninaweza kuskim nyumba yangu kabla ya kuweka Gypsum board ? Nyumba yangu imefikia hatua ambayo nimeshawasha umeme wa tanesco ila ni sehemu chache sio zote na kuna kijana nimemuweka hapo,hivyo natakiwa awamu hii nimalizie wiring sehemu zote ili...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu matokeo ya TRA tujiandae kisaikolojia

    Usilolijua sawa na usiku wa giza.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu matokeo ya TRA tujiandae kisaikolojia

    Bado siku 15 tu matokeo yatoke tunayasubiria kwa hamu, uzuri yanatoka baada ya pasaka 🤣
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu matokeo ya TRA tujiandae kisaikolojia

    Sasa hapo ndio umevuja?!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili TRA Kutangazwa Aprili 25, 2025

    Acha kukariri, kaandamane sasa huko kwenye ofisi zao
Back
Top Bottom