Recent content by Mkese

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya awali ya Jeshi la Magereza 2022

    Kwa upande wa depo la polisi labda posho yao inakua kiasi gani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Kuna aliyebahatik ktk Uzi huu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tareh 26 August wanaapa ccp huko
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Kuna vijana wameitwa ktk usaili huko magereza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Dahh ata ktk account zao naona wapo kimya Hawa jamaa cjui kwa nn
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Waliopo ccp mpaka mwez wa 9 aisee nimeskia mpaka wahesabiwe ndo watokeee kwa hio wa 9 mwanzo tutakua nao
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Kumbe wanakaribia kumaliza game
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Sawa mkuu hiv huna lonja ccp wanamaliz lini
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Duhhh kumbee kwa hio walioko ccp mpak sensa imalize ndo watoke koz yao ndefu hatar majeshi yote yaliyokwenda koz mwsho washaapa wamebak wao na uhamiaj mwez wa 8 wanamaliza nahis wao watakua hawajamaliza hatar sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Hiv ccp hawajamaliza na kupassout uko wakaja mtaani kutubeba naona Hali siyo kabisa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Kuna askar nimemskia mwez 8 wanaenda coz miez mitatu kwa hio walioko ccp nadhan watakua wamemaliz coz kipind hiko
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Kwa hio hawapassout mpak wamalize mafunzo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Ok ni vizur
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Naamanisha walioko mafunzoni
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Naomba kujuaa jamani pliz
Back
Top Bottom