Mi nilijipata nikiwa na miak 21 and now nina 29 so nina nyumba mbili moja iko tabora nyengine Dar kigamboni kule karibu na namiliki gari mbili moja ya biashara nyengine ya kutembelea na biashara zangu ziko kariakoo kilichobaki n kuoa tu ndo sijakamilisha
Mm napitia iyo hali lakini mm huwa kila nikiona demu natamani nimbake yaan sijui nimepatwa na nn kila demu atayepita mbele yangu huwa nataman nimbake sasa nataka niende kwa wana saikolojia wanipe mawazo ikishindikana nikakae porini kabisa hii hali inanitesa sn
Jamaa atakuwa na tatizo la kisaikolojia kitaalam linaitwa limenitoka kidogo hali iyo inapelekea kufanya kitu cha hatari chochote bila kuogopa nn kitatokea badae hata wakimuacha hapo ataendelea ingawa hatofanya tena na hao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.