Hawa walisema wameingia Mkataba na Emmirates Group Limited tangu 2021 mzew Baba alivyoacha jamaa walete Mabasi yao sasa imekuwa kila siku danadana na mara kila simu mikataba mipya na hii ji mara ya tatu yokea wanasaini mikataba na hao jamaa. Sijui ndio wanasubilia uchaguzi waje waseme tumeamua...
Baada ya samaki Mwanza kupungua na hapo mwanzo na mpaka sasa kupanda bei kw mkoa huu. Wametutenga wala neno samaki halisikiki mara kwa mara. Wametuacha Masikini tofauti na tulivyotegemea. Sasa Mtwara wanataka kufanyiwa the same2 kama Mwanza japo watu wa Mwanza hawakuandamana, sasa ges itoke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.