Kibada anaona mbali, anahisia za chama kuanguka kutokana na uimara wa mbowe kukifadhili na kujitolea kwa chama.
Mbowe akitoka Chadema itaanguka kwa kishindo kikubwa kama hawatapata wabunge wengi mwaka ujao wa uchaguzi. Wote ni Vijana nina imani walikuwa na fursa ya kukaa pamoja na kuweka...
Tatizo kubwa lililopo ni mamlaka husika kuwa nyingi (TBS,TFDA,FCC etc) na kufanya kazi bila ushirikiano wa karibu na wakati mwingine kuwepo mwingiliano.TBS kazi yao ni kufanya utafiti na kuweka viwango.Lakini utakuta TBS wanapita kuchukua sample madukani na kupima wakati enforcements ya standard...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.