Mkuu kwema?
Nimeona na wewe ulifanyia mchakato Moshi. Passport uliipata baada ya mda gani au ulitumia maarifa yapi kuharakisha mchakato?
Immigration Moshi siwaelewi kabisa, nilimaliza kila kitu (picha + fingerprint) toka mwezi wa 6 ila hadi leo passport yangu haijatoka na nina safari tarehe 18.
Ofisi inataka kunipa transfer, wamenipa nichague kati ya wilayani Mbozi kata ya Mlowo huko Songwe au wilayani Karatu Arusha.
Wadau mliowahi pita au ishi hayo maeneo naombeni usaidizi ni wapi pazuri pakuishi na familia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.