Wakudadavua, hawa wazee wanaoitwa wanasiasa wanatuchora sana tunavywapigia wayowe ya shangwe, wanajua kila kitu kinavyokwenda, hii nchi ya kwaoaisee, Lowasa kwenda Chadema ulikua upuuzi wa kutupwa na pia Magufuli kwenda kumsalimu sumaye muhimbili ni mchezo mweingine, hii movie haiishi, tutafute...