Nina tv yang lg led tv inchi 32 nimeitumia muda mrefu sana ila hivi karibuni vimetokea vimistari fulani hv kwa juu shida ni nn na tatizo linaweza solvika vipi?
Kuwa mwajiriwa mpya kuna mambo mengi bro pengine alichelewa kuripoti akakuta tayari halmashauri wameshatuma payroll inakuwa vigumu yeye kuupata huo mshahara wa mwezi husika , hivyo mshahara wake utakuwa ni limbikizo anaweza akalipwa mwezi unaofuata double salary hvyo mwelekeze awe mvumilivu na...
Na nyinyi nyumba zenu zingekuwa hazijafikiwa na miundo mbinu nadhani namba tungekuwa tunaisoma wote lkn kwa sasa mnaona ni vizuri tu kuwaambia wenzenu wakae kusubiri miundo mbinu iwafikie
Hili shirika majibu yake tu inaonyesha hawako tyr kuhudumia wananchi haiwezekani mtu anajibiwa etinanatakiwa kusubiri miundo mbinu imfikie maana yake hakuna muda sahh wa hyo miundo mbinu kufika ifike mahala muwe serious na majibu yenu
Mwenye makosa ni mteja au ni watoa fomu?? Lakini huu sio mjadala wakuendelea kujadili mm ninachokiomba ni kujua tu miundo mbinu itanifikia ln lkn kunambia misubiri hapo ndo inakuwa kasheshe kwan kusubiri ni kusubiri tu pengine lbd hadi 2025
Ile ya kwanza walinipa lkn haikuingizwa kwenye mfumo wao na nilipouliza wakadai ile niliyochukua ilitoka kimakosa ikanibidi kujaza nyingine mwezi april hv kweli kutoka mwezi jully walipokuja kutoa tathimini imekuwa ni kigezo cha kucheleweshwa huduma???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.