Kuna watumishi Wana maisha magumu kuliko walimu,Kwa mfano maaskari,sema walimu wanaonekana mapema Kwa sababu ni kundi kubwa.Halafu hii kazi ni nyepesi,piga chaki waelewe wasielewa watajua wenyewe na serikali Yao,Mimi huyo mtaani fanya udalali,simamia baa yangu n.k.Na Bado nina motivation ya kula...