Kazi ya usukani ni kusaidia kuongoza uelekeo wa gari,kazi ya clutch ni kutenganisha injini na gearbox ili uweze kuingiza gia,kazi ya breki ni kupunguza mwendo na kusimamisha gari.nawewe nipe ushauri kwa swala langu hapo juu
Ushauri wenu wandugu leseni yangu ni class C1,C2,C3 sina C plain kwa ajili ya mabasi ya abilia60 na zaidi.nilianza na Class D baada ya miaka mi3 ndio nikapata class C. NATAKA NIKASOME DRIVING VETA NIPATE CHETI haitakua tatizo?gari zote naendesha vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.