Recent content by Mkama the Great

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kazi ya wakala wa Tigo pesa

    Mi ni wakala naomba nikusaidie mawazo. Tafuta kitambulisho cha taifa na tin namba alafu fungua kijiwe usajili lain za simu. Fanya uwezavyo upate vifaa vya fingerprint utapata hela
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nitakushauri hapa hapa kama unainterview

    Thanks umenisaidia. Nikifanikiwa utakunywa soda
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Naitwa Musa. Elimu yangu ni Diploma ya usafiriahaji wa reli kutoka chuo cha reli Tabora. Nimehitimu mwezi wa nane mwishoni. Natafuta kazi kwenye makampuni ya usafirishaji na utunzaji wa mizigo. Mbali na masuala ya reli nina ujuzi kwenye masuala ya: Usimamizi wa warehouse Usimamizi wa mizigo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM Singida: Sababu zilizomfanya Nyalandu kujindoa CCM ni hasira za kukosa Uwaziri

    Tatizo jamaa hawataki kushindwa. Nyarandu bado akigombea atashinda na itakua pigo sana kwa ccm.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kigoma, mkoa pekee nchini usiounganishwa kwa lami na mikoa mingine

    Sio kweli. Mara - Arusha hakuna lami
  6. M

    JamiiForums Tanzania TRA naomba mnipe kazi ya kukokotoa hesabu zenu. Si kwa uzembe huu jamani

    Makosa ni makosa. Kosa dogo lina impact kubwa sana usioijua wewe
Back
Top Bottom