Recent content by Mkalukungone Mwamba

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wizara ya michezo inataka kuingilia majukumu ambayo si yake, kama inatoa hela si sababu ya kudizaini hadi jezi wanazotaka wao

    Wizara inataka kuingilia majukumu ambayo si yake, kama inatoa hela si sababu ya kudizaini hadi jezi wanazotaka wao Matokeo yake Serikali ndio itaelekeza jezi ziwe na muonekano gani mwisho wake Wananchi wazikatae waone Serikali inaingiza siasa. 1. Kwa uelewa wangu mdogo, na niko tayari...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Tisa Auawa eneo la Ekurhuleni, mashariki mwa Johannesburg, Kamishna Asema Wanawake “Wanawindwa”

    Mwanamke wa tisa amepatikana akiwa amefariki dunia katikati ya wimbi la mauaji linaloendelea katika eneo la Ekurhuleni, mashariki mwa Johannesburg, Afrika Kusini. Kamishna wa Usawa wa Kijinsia, Princess Eurika Mogane, aliiambia Al Jazeera kuwa vitendo hivyo vya ukatili vinahisi kama “vita”...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kyaruzi: Hii inayokuja ni Super El Nino haijawahi kushuhudiwa kwa zaidi ya miaka 500

    Afisa Mfawidhi wa Hali ya Hewa Mkoa wa Kigoma (RMO), Mugisha Kyaruzi, amesema mvua inayotarajiwa kunyesha katika kipindi kijacho inatajwa kuwa ya kipekee kutokana na ukubwa wake, akieleza kuwa haijawahi kushuhudiwa kwa zaidi ya miaka 500 iliyopita. Kyaruzi amesema hali hiyo ndiyo sababu tukio...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania BoT Yatoa Wito kwa Wananchi Kutunza Fedha Zao, ili zitumike kwa muda mrefu

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka Wananchi kuwa na uchungu na fedha zao kwa kuzitunza na kuhakikisha zinabaki katika hali nzuri ili ziendelee kutumika kwa muda mrefu. ‎ ‎Wito huo umetolewa leo Alhamisi Septemba 17, 2026 na Meneja wa Huduma za Kibenki na Sarafu Tawi la Dodoma, Nolasco Maluli...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makonda azikataa jezi mpya za Taifa Stars. Adai ziko chini ya kiwango na kung'aka "Tuheshimiane"

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameonyesha kutoridhishwa na jezi mpya zinazodaiwa kuwa za timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Makonda amesema jezi hizo hazikidhi kiwango anachotarajia kwa timu ya Taifa, huku akisisitiza kuwa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Familia Yakataa Mazishi ya Frank Stanley aliyefariki akiwa chini ya ulinzi polisi , Yataka Taarifa za Kuugua Ndugu Yao

    Familia ya Kijana Frank Stanley mwenye umri wa miaka 27 Mkazi wa Bukoba aliyefariki dunia Septemba 02, mwaka huu katika Hospital ya Kanda ya Bugando Jijini Mwanza akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera baada ya kukamatwa akituhumiwa kwa tuhuma za wizi, imekataa kushiriki...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mgomo hatusitishi… tutalisha ugali familia? Watoa huduma za daladala mnadani Dodoma

    Watoa huduma za usafiri wa daladala katika eneo la Mnadani jijini Dodoma leo Septemba 16, 2026, wamegoma kutoa huduma, wakilalamikia umbali wa stendi iliyotengwa kwa ajili yao kutoka barabarani. Watoa huduma hao wamesema umbali huo unawalazimu abiria kutembea hadi stendi, huku wao wakiwa stendi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Responded Msigwa: Tunajenga viwanja vikiwa na running track kwa sababu vinakuwa ni vya olimpiki ili viweze kutumika mashindano yote

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa ameweka wazi sababu za serikali ya Tanzania kupitia wizara kuendelea kujenga viwanja vya olimpiki licha ya kuwepo kwa wapenzi wa soka wanaotamani viwanja hivyo vijengwe maalum kwa ajili ya soka...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Lwaitama: Hasira za Wananchi na Madai ya Katiba Mpya Zimechochewa na Tamaa ya Ugatuzi wa Mamlaka

    Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mzee Azaveli Lwaitama, amebainisha kuwa hasira za wananchi na madai ya Katiba Mpya nchini zinachochewa na hulka ya asili ya mwanadamu ya kutopenda kutawaliwa wala kuswagwa, bali kutaka ugatuzi wa kweli wa mamlaka. Kauli...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Rukwa Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Kijana Pilato Kulumbana na Askari Kanisani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limetoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo inayomwonesha Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Pilato, akilumbana na Askari Polisi katika ibada iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mlima Itwelele, Sumbawanga. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wasira: Demokrasia Lazima Ianzie Ndani ya CCM, Wanachama Wawe na Uwezo wa Kuamua Yanayohusu Chama Chao

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwa mfano wa demokrasia nchini, kikisisitiza kuwa misingi hiyo inaanza ndani ya Chama chenyewe. CCM imesema imekuwa ikizingatia misingi ya demokrasia katika uendeshaji wa shughuli zake, ikiwemo katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wake. Hayo...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rahma Kisuo: Vijana mkimaliza masomo msisubiri kuajiriwa, Jiajirini

    Vijana mmesikia ushauri kutoka kwa mbunge? ========== Akizungumza katika kipindi cha One on One kinachorushwa na Wasafi TV, Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Kisuo, amewataka vijana wanapomaliza masomo yao ya chuo kutosubiri ajira, bali waanze kujiajiri huku wakitafuta fursa nyingine za ajira. Soma...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rahma: Nilipokua nagombea ubunge sikuombwa wala kutoa chochote, walinichagua tu kwa kuniamini

    Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Kisuo, akizungumza kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema wakati alipogombea ubunge, hakuombwa wala kutoa chochote ili kupata nafasi hiyo, bali alichaguliwa kutokana na kuaminiwa. Kisuo amesema hayo akieleza namna alivyopata nafasi ya kugombea ubunge...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Muliro: Tunachunguza kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa mtaroni Mwenge

    KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amethibitisha kupatikana kwa mwili wa mtu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 40 katika eneo la Mwenge, Dar es Salaam. Mwili huo umekutwa leo, Septemba 14, 2026, majira ya saa 2:00 asubuhi ukiwa kwenye ya mtaro. SACP...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mchome: Risiti zinaonyesha Heche kupokea milioni 20 bila kupitia chama

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala mbalimbali, hususan baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, kutoa ushahidi mahakamani...
Back
Top Bottom