Recent content by mkalli

  1. mkalli

    JamiiForums Tanzania Magufuli, tupambane tuachane na kutegemea misaada!

    Hahahahah!!!!! Wabongo kweli minyoo. Umewambia ukweli mchungu.
  2. mkalli

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

    Uliambiwa huo ni mkopo?
  3. mkalli

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura wa CCM Zanzibar 181,837 kuwakosesha Watanzania millioni 49 ruzuku ya MCC

    Mama siku moja niliwahi kukuuliza hivi unalichukuliaje suala la Zanzibar hasa ukizingatia wewe ni mpinga dhulma na mfuasi wa Mtume Muhammad(SAW)?
  4. mkalli

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha, si apewe Chenge tu

    Hapana mimi naona apewe Balali..
  5. mkalli

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Waziri wa muungano januari makamba. Kama huyu ndio alifanya kazi kubwa ya kutangaza matokeo kabla ya tume kwa ushirikiano na kile kitengo maalum unategemea angelipwa fadhila gani??
  6. mkalli

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Hahahahhahah!!!!!
  7. mkalli

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Taifa stars Ina nafasi kubwa sana ya kushiriki kombe la dunia kwani yule mtaalam wa kufunga magoli ya mkono bila ya kuonekana ameteuliwa kua Waziri wa michezo. Sasa washindwe wao tu.!
  8. mkalli

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Magufuli anadhani kwa mtazamo wake amezi short list wizara ili kubana matumizi tu lakini akajisahau kwenye umakini wa kutafuta watu ambao angalau wananchi kwa asilimia kubwa watakua na imani nao lakini kama kawaida ya ccm kwanza ulipe fadhila. Kwa mameneja kampein bwana.
  9. mkalli

    JamiiForums Tanzania Suppose CUF wakisusia uchaguzi Zanzibar

    Ukila nawe utaliwa tu
  10. mkalli

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari mmelikoroga Kikatiba katika uchaguzi, sasa mlinywe

    Halafu alisema kama alijitangaza yuko tayari kukamatwa ili afikishwe mahakamani sasa mbasubiri nini wakati kavunja sheria?
  11. mkalli

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari mmelikoroga Kikatiba katika uchaguzi, sasa mlinywe

    Hatuwezi kumuuliza kwa sababu hatuna ushahidi wowote wa yeye kujitangaza mshindi, labda umuulize wewe mana unaushahidi wa kujitangaza kwake
  12. mkalli

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya miaka 54 ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Vp na muungano wa kikaragosi na sherehe za mapinduz? Mana ccm alokua hajawahi kupanda boti siku hiyo utamwona.
  13. mkalli

    JamiiForums Tanzania Kutotatajwa kifungu cha sheria alichotumia Jecha kufuta uchaguzi Zanzibar kwaitesa CCM

    Na wewe kwa ukaidi hata ukiambiwa mama yako mwana mke utapinga ccm ndo ubongo wenu ulivyoumbwa.
  14. mkalli

    JamiiForums Tanzania Kero ya Rais kutumia barabara

    Na wewe askari ni mbwa mshenzi mwanakharamu fisadi muuwaji katili usie na huruma na watanzania kwa maslahi ya mabwana zako choko weee
  15. mkalli

    JamiiForums Tanzania UKAWA waeleza sababu za kuzomea Bungeni

    (Ccm tayari tushashinda zaidi ya majimbo 174 mpaka sasa) january marope. Hapo bado hata jimbo moja kuhesabiwa kura. Nyani haoni nani h...ii lake.
Back
Top Bottom