Suppose CUF wakisusia uchaguzi Zanzibar

Suppose CUF wakisusia uchaguzi Zanzibar

Wakisusia uchaguzi maana yake uchumi wa visiwani utayumba sana. Kutakuwa na ugumu kwa CCM kukusanya kodi na kuleta maendeleo kwa baadhi ya majimbo yenye upinzani mkubwa. Achilia mbali hilo lakini lililo baya zaidi kuta zuka vitongoji kama vile vya Soweto SA. Hili litakuwa baya zaidi kwa shughuli za utalii ambao unaliingizia taifa fedha nyingi. Wageni wataanza kuvamiwa hovyo hovyo na matukio ya kushtukiza ya hapa na pale. Msifanye mchezo ndugu zangu. Maana naona kuna watu wana comment hii post kama vile ni post ya mchezo.
 
Duhj wakisusa namuona hamad rashid akiukwaa umakamu wa rais wa kwanza na kuweka.historia ya mshindi wa pili kuwa na kura chache maana hata buku sijui km atapata
 
Wewe unamdanganya nani?
Hata wale jeshi waliokwenda Kumchukua makamomwenyekiti mbele ya Observers wote pia ni wa ZEC?
CUF wakisusia sisi ACT tutapa japo kamoja ka uwakilishi. Tena Uchaguzi utakuwa hiruuuuu name hakiii.
 
Wakisusia uchaguzi maana yake uchumi wa visiwani utayumba sana. Kutakuwa na ugumu kwa CCM kukusanya kodi na kuleta maendeleo kwa baadhi ya majimbo yenye upinzani mkubwa. Achilia mbali hilo lakini lililo baya zaidi kuta zuka vitongoji kama vile vya Soweto SA. Hili litakuwa baya zaidi kwa shughuli za utalii ambao unaliingizia taifa fedha nyingi. Wageni wataanza kuvamiwa hovyo hovyo na matukio ya kushtukiza ya hapa na pale. Msifanye mchezo ndugu zangu. Maana naona kuna watu wana comment hii post kama vile ni post ya mchezo.
Lakini Mkuu issue ya muhimu ya kuzingatia hapa ni kuwa kama uchaguzi ulifanyika vyema na matokeo yakatangazwa kwa siku 3 mfululizo na wawakilishi kwenye Baraza wakawa tayari weshakabidhiwa vyeti vyao vya ushindi, ni kitu gani kilichofanya Mwenyekiti wa ZEC Jecha Salim Jecha, akurupuke ghafla na kutangaza kuufuta uchaguzi huo?
Ni dhahiri kwa mazingira yanavyojionyesha ni kuwa Jecha hakutoa tamko hilo kwa hiyari yake, bali lilitokana na shinikizo kubwa la viongozi wahafidhina ndani ya CCM baada ya kugundua kuwa Maalim Seif amemshinda Dr Shein kwenye kinyang'anyiro hicho cha Urais.
Kwa hiyo kitu kikubwa sana kinachohitajika kwa sasa kuliko kitu kingine ni viongozi wakuu wa vyama vikuu vyenye nguvu huko Zanzibar, ambavyo ni CCM na CUF kuweka pembeni maslahi binafsi ya vyama vyao na badala yake kuiacha Tume ya uchaguzi ifanye kazi yake bila kuingiliwa na iruhusiwe kukamilisha 'kiporo' chake cha kumalizia kutangaza matokeo kwenye majimbo waliyokuwa hawajakamilisha kutangaza na hatimaye kumtangaza mshindi wa kiti cha Urais huko Zanzibar.
 
Haina haja ya kususia, wakomae tu mpaka mafisiem wamtangaze Maalim then atinge baraza la mawaziri ili alete siri zao huku tuwaumbue. Na maalim akiingia ikulu ya zanzibar tayari ndo utakuwa mwisho wa ccm huko mikoani.
 
CUF wakigomea uchaguzi au hata CCM, ZEC inaendelea na shughuli za uchaguzi kama kawaida kwani kuna zaidi ya vyama viwili ZNZ na vyote vina haki sawa kwa wote,kumbuka kuwa hivi ni vyama tuu ila wapiga kura si wanachama wa chama chochote.
ACT-Wazalendo,ADC kuna Jahazi Asilia bila kusahau Chauma cha Mhe Hashim Rungwe au DP cha Marehemu Mchungaji Mtikila vyote hivi na vingine nisivyo vitaja hapa vina haki sawia
 
Lakini Mkuu issue ya muhimu ya kuzingatia hapa ni kuwa kama uchaguzi ulifanyika vyema na matokeo yakatangazwa kwa siku 3 mfululizo na wawakilishi kwenye Baraza wakawa tayari weshakabidhiwa vyeti vyao vya ushindi, ni kitu gani kilichofanya Mwenyekiti wa ZEC Jecha Salim Jecha, akurupuke ghafla na kutangaza kuufuta uchaguzi huo?
Ni dhahiri kwa mazingira yanavyojionyesha ni kuwa Jecha hakutoa tamko hilo kwa hiyari yake, bali lilitokana na shinikizo kubwa la viongozi wahafidhina ndani ya CCM baada ya kugundua kuwa Maalim Seif amemshinda Dr Shein kwenye kinyang'anyiro hicho cha Urais.
Kwa hiyo kitu kikubwa sana kinachohitajika kwa sasa kuliko kitu kingine ni viongozi wakuu wa vyama vikuu vyenye nguvu huko Zanzibar, ambavyo ni CCM na CUF kuweka pembeni maslahi binafsi ya vyama vyao na badala kuiacha Tume ya uchaguzi ifanye kazi yake bila kuingiliwa na iruhusiwe kukamilisha 'kiporo' chake cha kumalizia kutangaza matokeo kwenye majimbo waliyokuwa hawajakamilisha kutangaza matokeo na hatimaye kumtangaza mshindi wa kiti cha Urais huko Zanzibar.

Tanzania hakuna sheria. Sheria zilizopo ni sheria za hela na ukubwa. Kama una uwezo basi fanya utakacho wewe.!!
 
Ni nini manufaa ya CUF kususia uchaguzi wa marudio je wana mbinu gani mbadala iwapo serikali na CCM wakaamua kuendelea na uchaguzi bila CUF?

Kuzuia tu haitoshi.
inatakiwa kususia na resist usifanyike
 
Ni nini manufaa ya CUF kususia uchaguzi wa marudio je wana mbinu gani mbadala iwapo serikali na CCM wakaamua kuendelea na uchaguzi bila CUF?
CUF kususia uchaguzi wa marudio iwapo kweli hao Tume ya uchaguzi na 'washiriks' wao wa CCM watashikilia msimamo wao wa kuurudia uchaguzi huo itakuwa sawasawa na kumwachia fisi butcher, hapo ni dhahiri kitakachofuatia kitakuwa.........
 
Ni nini manufaa ya CUF kususia uchaguzi wa marudio je wana mbinu gani mbadala iwapo serikali na CCM wakaamua kuendelea na uchaguzi bila CUF?

CCM wanasali na kuomba M/Mungu awajalie CUF wasusie hili wao na Ahmad Rashid na TADEA ya Shibuda waendelee na Uchaguzi n as kumsimika Shein kwa miaka mingine5.
 
Wakisusia uchaguzi maana yake uchumi wa visiwani utayumba sana. Kutakuwa na ugumu kwa CCM kukusanya kodi na kuleta maendeleo kwa baadhi ya majimbo yenye upinzani mkubwa. Achilia mbali hilo lakini lililo baya zaidi kuta zuka vitongoji kama vile vya Soweto SA. Hili litakuwa baya zaidi kwa shughuli za utalii ambao unaliingizia taifa fedha nyingi. Wageni wataanza kuvamiwa hovyo hovyo na matukio ya kushtukiza ya hapa na pale. Msifanye mchezo ndugu zangu. Maana naona kuna watu wana comment hii post kama vile ni post ya mchezo.
Adui anafahamika vizuri hivo harakati zitaelekezwa kuvuruga uchumi wa adui siyo uchumi wa Zanzibar. Mbinu ya wapalestina ya BDS ni mwanzo mzuri kuiga.
 
Back
Top Bottom