Picha ni mbovu sana badilisheni ziwe za hd waigeni TV E na Clouds tv picha zao zinang'aa, kuacha kuegemea upande mmoja wa chama cha siasa kwa sasa waachieni ch. 10 wafanye kazi hiyo, vipindi ni vibovu sana wengi wetu tunapendelea movie na michezo mbalimbali rejea kipindi cha Jumba la Dhahabu...
Napenda kwanza niwape hongera kwa kazi nzuri mnayoifanya hasa ya kuwapa habari wananchi kuhusu haki zao za kupata habari. Nakumbuka mwaka juzi mlitangaza kuwa Channel za ITV, EATV,TBC, CLOUDS n.k zinatakiwa kuonyeshwa bure na King'amuzi cha Continental hata kama mteja hajajiunga na kifurushi...
Ni takribani imepita miezi mitatu tangu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilipoagiza Wamiliki wa Ving'amuzi; Continental, Ting, Digitek na Star times waonyeshe Channel za nyumbani hata kama wateja wao hawajalipia malipo ya kila mwezi.
Agizo hilo lilifuatwa kwa muda mfupi tu na kwa sasa...
Ili kuzuia Taifa lisipakwe matope hatuna budi kujibu hoja zake alizozitoa badala ya kuanzisha hoja mpya. Kuna watu mnashindwa kumsaidia Rais badala ya kujibu hoja zinazotuhumiwa nyie mnaanzisha hoja nyingine. Kama hoja zake hazitajibiwa zinaweza kusababisha kuongezeka chuki kwa serikali. Maoni...
Nina miaka miwili nimekuwa nikitumia King'amuzi cha Continental ambacho mmiliki wake ni mkazi wa Jiji la Mwanza.
Nilikipenda king'amuzi hicho kwa kipindi hicho kutokana na kuvutiwa na matangazo yao kuwa hakina malipo ya kila mwezi.
Baada ya muda mfupi King'amuzi hicho kikabadilika na kuwa...
Wazo lako linatakiwa liungwe mkono kwa asilimia mia moja. Lakini hii TBC wamelala sana. Wazo hili linaweza likachukuliwa na mashirika binafsi kama vile IPP MEDIA, SAHARA MEDIA N.K
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.