Recent content by Mkali ya askari

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Gari inaonekana kuharibika na taarifa zinasema walikuwa wanne wenzake wameumia na kuwahishwa hospitali TUMBI je hakuna hata majina yao jamani au maelezo kidogo mbona mnatufanya watanzania malofa kiasi hichi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mamia ya wanachama wa CHADEMA warudisha kadi na magwanda yao

    Hao watu 800 unatakwimu sahihi kweli au ndo mikurupuko ya wana ccm.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Edward Lowassa

    maisha marefu my president
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA kuzindua kampeni tarehe 29 Agosti, 2015 Jangwani

    Kwakuwa walizidisha muda kitaeleweka
  5. M

    JamiiForums Tanzania CONFUSION: Chupa mbili za sumu, moja imeandikwa SUMU nyingine MAJI

    Nyie mafisiem hamna jipya tushawazoea
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wenye heshima wa taifa hili wote wawe hawamtaki Lowassa?

    Ukiwa huna hoja useme nazani baba zetu wanabusara kuliko hao mafisiem
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Hawa mafisiem hawajui watu washawachoka
Back
Top Bottom