Recent content by mkalamo

  1. mkalamo

    GE2025 Malima: Watu wa Mkuranga msifache makosa ya kumchagua kiongozi,asiyejihusisha na shida za wananchimli

    Ni kwenye dua aliyowaalika Dk watia Nia ya Ubunge DK Chakou Tindwa na Abdalla Ulega. Hata hivyo Ulega alichimba hakuhudhuria Asema jimbo linataka mtu muungwana kwa wananchi. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni mkazi wa Mkuranga,Adam Kigoma Malima,amewataka wakazi wa jimbo...
  2. mkalamo

    Mabadiliko ya Bajeti ya 2025 inasamehe makampuni Makubwa na Mabenki zaidi ya shilingi Bilioni 200 kwa Mwaka

    Makampuni na Mabenki hawana sababu tena ya kukwepa kodi kwa kuwa wamerahisishiwa sana kupitia mfumo wa Retained Earnings’ ambao ni Suluhu ya kuzuia Uepaji Kodi wa Makampuni Makubwa nchini. Twende nayo hatua kwa hatua Juzi Waziri wa fedha Dk Mwigulu Nchemba,alisoma bajeti kuu ya Serikali kwa...
  3. mkalamo

    PreGE2025 Hivi ndivyo Mary Chatanda anavyowazuia wengine wasigombee ubunge Mkuranga akisema Ulega ni chaguo la chama

    Mary Chatanda ni mmoja wa wajumbe wa NEC Taifa ambaye miezi michache ijayo ataketi katika wale watu Watakaopitisha majina ya Wana CCM waliotia nia Majimboni kuomba nafasi ya Ubunge Kwa nafasi yake Jana amesema wazi kwa Mkuranga ni Abdallah Ulega na wengine hawastahili. Mbaya zaidi katika hilo...
  4. mkalamo

    Polisi Mbeya wazuia mkutano wa ACT Wazalendo ambao Zitto Kabwe alipanga kuzungumza

    Tumsubiri mamako aje kuzuiwa ndiyo itakuwa halisi
  5. mkalamo

    Mgogoro ACT-Wazalendo: Mwenyekiti Taifa atishia kuachia ngazi

    Mkuu kama upo hai njoo utupe tathmini yako sasa juu ya ACT Wazalendo
  6. mkalamo

    PM Modi awarded with Russia’s highest civilian honour

    New Delhi [India], July (ANI): Prime Minister Narendra Modi was ceremoniously presented with the Order of St Andrew the Apostle the First-Called, Russia’s highest civilian honour, at St Catherine’s Hall of the Moscow Kremlin on Tuesday. Notably, the award was bestowed on PM Modi in the year...
  7. mkalamo

    India holds first meeting as Chair of Colombo Process

    India chaired its first meeting as Chair of the Colombo Process at the Permanent Representative Level Meeting at the International Organisation for Migration (IOM) Headquarters in Geneva. Muktesh Pardeshi, Secretary (Consular, Passport, Visa and Overseas Indian Affairs), Ministry of External...
  8. mkalamo

    India na Bangladesh watangaza huduma mpya za treni na basi wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Sheikh Hasina

    Waziri Mkuu Narendra Modi na mwenzake wa Bangladesh, Sheikh Hasina, walitoa maono yao ya pamoja juu ya amani, ustawi na maendeleo ya majirani hao wawili na kanda nzima, yakiongozwa na uunganishaji, biashara na ushirikiano. Makubaliano hayo muhimu yaliyohusisha uunganishaji, biashara na sekta ya...
  9. mkalamo

    Gautam Adani Meets Bhutan PM, Signs MoU for 570 MW Green Hydro Plant in Himalayan Nation

    Adani Group chairman Gautam Adani has met Bhutan Prime Minister Tshering Tobgay and signed a Memorandum of Understanding with the country's Druk Green Power Corporation for a 570 MW hydroelectric plant in Chukha province. Thimphu [Bhutan], June 17 (ANI): Adani Group chairman Gautam Adani...
  10. mkalamo

    Waziri Mkuu Modi awashukuru viongozi wa dunia kwa salamu za pongezi wakati wa sherehe ya kuapishwa kwake

    New Delhi [India], Juni 2024 Waziri Mkuu Narendra Modi amejibu jumbe mbali mbali za pongezi kutoka kwa viongozi wa dunia baada ya kuapishwa kwake kwa muhula wa tatu mfululizo. Narendra Modi aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa India kwa muhula wa tatu mfululizo Jumapili katika sherehe ya kuvutia...
  11. mkalamo

    PM Modi expresses gratitude to world leaders for warm wishes on his swearing-in ceremony

    New Delhi, June,2024 Prime Minister Narendra Modi responded graciously to messages of congratulations from world leaders following his swearing-in for a third consecutive term. Narendra Modi took oath as Prime Minister of India for a third successive term on Sunday at an impressive ceremony...
  12. mkalamo

    Nigeria wasifu Mchakato uchaguzi nchini India

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria Yusuf Maitama Tuggar siku ya Jumapili aliwapongeza watu wa India na Waziri wa Mambo ya Nje S Jaishankar kwa "kuonyesha hadhi yao kama ngome ya kidemokrasia duniani." Yusuf Maitama Tuggar alisema mchakato wa uchaguzi wa India ulidumu kwa siku 44 na akauita kuwa...
  13. mkalamo

    Msaada: Mshahara TCAA

    Milioni 50 tu
  14. mkalamo

    Final batch departs, 273 pilgrims leaves for Saudi Arabia

    The final batch of 273 Hajj pilgrims from Jammu and Kashmir departed from Srinagar International Airport on Monday, marking the conclusion of the Hajj departures for 2024. The first return flight from Saudi Arabia is scheduled for June 22, an official said. A senior officer of the J&K Hajj...
Back
Top Bottom