Recent content by mkajembe

  1. M

    Nyumba inauzwa

    Iko Njia panda ya Kunduchi mtaa wa Kilkongawima. Ina vyumba vinne vya kulala viwili ni self contain. Ina fensi chumba cha TV jiko kubwa na stoo. Sebule chumba cha kulia. Kwa mawasiliano. Piga 0715/0754 045596 au 0754 892174 email macha.elly@gmail.com
  2. M

    Tuko Wawili tu peke yetu

    Ni kweli Mungu anasamehe lakini unapomueleza binadamu mwenzio ubaya huu unategemea nini................???????????? Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama. "padri...
  3. M

    Tanzania's National Electoral Commission is toothless

    Mimi nadhani kuunda tume huru inawezekana kabisa hata kama CCM hawataki. kinachitakiwa ni kwa vichwa makini vilivyoingia mjengoni mwaka huu kuanzisha move ya kuwa na tume huru na pia kufanya marekebisho ya katiba. Utaratibu uwekwe ili mwenyekiti na wakurugenzi wa tume wasichaguliwe na raisi bali...
Back
Top Bottom