Recent content by Mjuajiwa karne

  1. M

    GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Saasicha Mafue CCM na Kaka Mbowe Chadema jimbo la Hai. Mtifuano wa karne kati ya wananchi walio kengeuka na Kiongozi wa kambi Rasmi ya upinzani.
  2. M

    GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Nipo Lyamungo sinde, Machame hapa kituoni, Mtifuano ni F. A. Mbowe na Saasicha Mafue. Nafikiri mtifuna huu mpaka saa 6 mchana utakuwa umefahamika muelekeo wake.
  3. M

    Huwezi kuzuia sauti ya UMMA kwa kuzima mitandao

    Kwani ikifika tarehe 2/11 ni sawa tuu tutaendelea na shuguli zetu kama kawaida. Faida ya kueneza uwongo na kutumika na gasho wetu kina Ámsterdam . Tahadhari ni lazima, yote katika kutafuta usalama wa nchi yetu. Hakuna linalo haribika kwani mitandao ndio nini? Ipo tuu hata baada ya uchaguzi.
  4. M

    Kwahiyo tutarajie kuwa waliopiga kura ya mapema leo, kesho hawatapiga kura ya Rais na Mbunge wa Muungano kwa sababu watakuwa 'busy'?

    Wakati wa kupiga kura ni vyama vinakwenda kuchukua dola, kwa hali hiyo tegemea kila liwezekanalo litafanywa. Ni sawa tuu unapoenda kutafuta chakula kwa familia yako, kama utakuta kazi ya kubeba nazi, sawa tuu, kazi ya kubeba ndizi sawa tuu. Hapa inatafutwa dola, mazungumzo ijumaa.
  5. M

    Kwahiyo tutarajie kuwa waliopiga kura ya mapema leo, kesho hawatapiga kura ya Rais na Mbunge wa Muungano kwa sababu watakuwa 'busy'?

    Mwanakulitafuta, mwanakulipata, piga hao kama paka mwizi, ijumaa saa 7 mchana ndio tutaanza kuzungumza lugha ambayo tutaelewana. Sirro amekwisha sema tii sheria bila shuruti. Wanakulitafuta msiwasikilize deko hao. Piga wachakae, sisi tuna hitaji kuwa salama na nchi yetu hao waliotumwa na...
  6. M

    Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

    Amani ni muhimu tuu kwa anaye amini, kinyume chake ni fujo. Unajazwa ujinga unafanya wanavyotaka wanao watuma, polisi butua tuu hao binadamu nusu wangetimia ubinadamu wasinge shawishika kirahisi hivyo.
  7. M

    Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

    Kwa tulipofikia hakuna jipya, malalamiko tumekwisha yazoea, watoto deka. Muda umepita mazungumzo Ijumaa saa7 mchana tutaanza kuulizana za tangu juzi. Wanyooshwe tuu hakuna namna. Inatakiwa uchaguzi huu mmnyooshwe mpaka tuingiwe na huruma, Bara wabunge 4 na visiwani wabunge 13, upinzani kwishney.
  8. M

    Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

    Mtanyooshwa tuu, kwani msituni niye ndio mtakuwa wa kwanza. Wapalestina waliingia tangu 1948 mpaka leo na wanaendelea kunyooshwa. Kichwa ngumu piga nondo.
  9. M

    Zitto, Lissu na Mbowe wanafanya makosa kama ya Morgan Tsvangirai

    Kundi la wachumia tumbo kwa umoja wao. Tena sasa hivi wame changanyika na mgese, mambo barabara. Lissu gosha oyeeeeeeeee
  10. M

    Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

    Mnadanganya na jicho bovu eti askari wanabeba fimbo. Subirini muone kama ni fimbo au kitu kingine. Kesho saa nne asubuhi wataanza maji kuyaita mma. Wapuuzi wajibu kwa upuuzi.
  11. M

    Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

    Watu wameanza kupigwa risasi baba yako hajazaliwa na watapigwa tuu hata miaka 50 baada ya wewe kufa. Nilifikiria kupewa Urais kumbe kupigwa risasi? Kichwa ngumu piga nondo mpaka wanyooke.
  12. M

    GE2020 Sugu atikisa Soko la Mitumba Soweto, ni katika ziara ya mwisho kabla ya kufunga kampeni

    Sugu mgonjwa, vipi amepata afadhali kaanza kunywa uji ?
  13. M

    Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

    Bado masaa tuu, kesho saa 4 asubuhi CCM kura million 20 chadema laki 4 , mdogo mdogo mpaka jioni Chadema wametepeta. CCM oyeeeeee
  14. M

    Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

    Kwa muda mrefu sana kutunga uwongo na sio propaganda ndio imekuwa njia ya kuendesha vyama vya upinzani, muda wa hesabu umefika tutaanza kufanya siasa za ushindani wa kweli. Mbowe biashara imekuwa ngumu na haitajiki tena kwenye siasa za upinzani.
Back
Top Bottom