Usifanye makosa katika uchaguzi huu, wa serikali za mitaa
Ndugu zangu watanzania, awali ya yote napenda kuwasalimu, wakubwa Shikamoo na wadogo habari gani. Kwa wale ninaowazidi, watakuwa wameniamkia. Kwanza napenda kumshukuru Mungu muweza wa yote kwa kutufikisha siku ya leo ninapoongea na wewe...