Nimeishi na mwanamke zaidi ya miaka 10, sijafanikiwa kupata nae mtoto,Amekuwa mkali,mkorofi,anaweza kuamka asubuhi kanuna hata bila sababu, Imefikia mahali kwa maneno yake anataka kuhalalisha kuwa mimi ndio mwenye matatizo ya uzazi.
Nimekwenda Hospitali,nimepima nipo vizuri.yeye ukimwambia...