Hebu mpe kubwa wa kujiita mzee wa chumvin mana kwa style hiyo ndo mwanzo wa kuwa wali nazi jembeeeeeeee den demu akitoka hapi anaenda kujisifu kwa mashost zake kapima oil kwa mr nanii haha majanga hayooo
Kuna wa2 wazima wengine ovyooo ndo wanaongoza kwa mambo ya kijinga,unakuta ye ndo wa kwanza kufunguka na kukuonyesha hizo picha tena unakuta katumia pisa nyingi ili ampige picha za utupu kisa kuonyesha vijana wadogo mana nimeshas shuhudia tukio la namna hiyo.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.