Recent content by mjng

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

    Dah!!hii imebidi niijibu...We kuna sehem mikoani hata Dispensary hakuna ndugu afu eti ukikaa dar unaweza survive popote... Watu maji ya kunywa tu masafi labda wasubiri ya mvua. Unalala usiku unasikia sauti ya mnyama na choo ni cha nje... Anyway kila sehem na chamgamoto zake...uwe town au mkoani..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

  3. M

    JamiiForums Tanzania Old school rap/hip hop

    5 o'clock in the morning
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, bila DIAMOND PLATNUMS, bongo flava ingekuwa kimataifa haipo/ imekufa kama bongo muvi.

    Kiukweli Diamond ana sifa moja ya ziada pengine wengine hawaioni..nayo ni Kuwafikilia wengine nao wapate riziki ili mkono uende kinywani.. Haya mengine naona ni ya kawaida tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Noti na Sarafu za Tanzania

    So kwa kifupi ile jero ya zamani thamani kuitengeneza ni kubwa kuliko vitu itakavyonunua
  6. M

    JamiiForums Tanzania Historia ya Noti na Sarafu za Tanzania

    Sababu kuu Thamani ya pesa inatakiwa izidi gharama za matengenezo..hiyo pesa production yake ina thamani kuliko purchasing power yake so lazma waibadilishe Mfano.. Tsh 100 material yake yangekua makubwa kuliko purchang power yake basi watu badala ya kuitumia kununulia vitu wangeiyeyusha...
Back
Top Bottom