Recent content by Mjina Mrefu

  1. Mjina Mrefu

    Connection ya simu za mkopo

    Habari wakuu, Nina goli langu moja la simu, sasa wateja wanaulizia sana simu za mkopo. Nimejaribu sana kuulizia ninapoweza pata simu za mkopo kwa bei ya Jumla nimekosa. Mwenye connection anijuze wakuu
  2. Mjina Mrefu

    Application Nzuri ya Kudownload Videos YouTube

    Wakuu, Naomba mwenye kujua Application ambayo naweza kushushia video YouTube. Nilikua natumia Application kama Snaptube, Videoder na Vidmate. Ila sasa hivi naona zimekua restricted, hazidownload Msaada wakuu.
  3. Mjina Mrefu

    Naomba Chimbo la wauzaji Movies zilizotafsiriwa Online

    Well, Habari wakuu, Nina kijiwe changu cha kuuza movies zilizotafsiriwa kiswahili na ma DJ wa bongo. Sasa na struggle sana kupata movies aisee. Kuna mwamba ananiuziaga ila ananiuzia ghali sana. Natamani nipate chimbo zuri iwe group au hata Dj mwenyewe directly awe ananiuzia jumla. Huwa...
  4. Mjina Mrefu

    Kamwe usikubali mwanamke akuone huna msimamo kisa kichwa cha chini kimesimama

    Wakuu, Hawa watoto wa kike wanajua udhaifu wetu ni papuchi. Kuna wakati unakataza jambo fulani ila yeye hasikii anakiuka kwa makusudi. Au anafanya kosa fulani analojua kabisa ulishamkanya hupendi... Au umetoa maelekezo fulani kama baba wa nyumba na akakiuka kuyatekeleza kwa makusudi tu...
  5. Mjina Mrefu

    Naomba Connection ya kupata Wauzaji wa vioo vya simu kwa jumla kwa bei nzuri

    Wakuu, Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone. Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo. Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri...
  6. Mjina Mrefu

    Ni biashara gani naweza kuifanya kwa Mtaji wa million 25

    Kama huna uzoefu wa business, chukua 10m nunua bajaji anza kupiga ruti za kimara - manzese. Kwa siku utalaza faida siyo chini ya 20k baada ya kula na mafuta. Kwa mwezi 600k 15m nyingine weka fixed account
  7. Mjina Mrefu

    Nimeoa ila natamani sana wanawake wengine

    Tuko vizuri sana. Japo kupishana mara moja moja kupo
Back
Top Bottom