Recent content by MJI MCHUNGU

  1. M

    Kundi lingine la watoto limekutwa kwenye misikiti ya mji wa Dodoma

    Siamini km kucheza mchezo wa karate basi utakuwa umekiuka sheria za nchi, mbona mm mwnyw nacheza tena sana tuu..? Aliyeleta huu uzi ndo hajui kuwasilisha key nadhani. Kikubwa hapo ni kuwepo kwa vituo vya watoto bila utaratibu. Maana yanaweza kutokea maafa na watt wetu wakadhurika ama kupoteza...
  2. M

    Dr. Mengi Ashtushwa na taarifa za kuiangusha serikali ya Kikwete

    Mimi siamini km hizo habari ni za kweli. Iweje ziandikwe kwenye hilo gazeti tuu....magazeti mengine yasiwe na taarifa..?! Uzushi mtupuu..hiyo ni njia ya kumvunja moyo ZZK na wafuasi wake. Shindwaa Dr. Mengi
  3. M

    Zitto: Marekani Yangu ni Hivi Vijiji Vya Tanzania; Tutafanya Mijadala humu Vijijini!

    ZZK hakuna kukata tamaa Mkuu, tuko pamoja tuko nyuma yako. Wewe ni mtanzania halisi mwenye uchungu mkubwa sana na maisha duni ya wananchi walio wengi. Mungu aendelee kuwa mbele yetu katika Mapambano haya..
  4. M

    Wanawake wa staili hii, wanakera mno

    Ngoja nichangie kdg tu halafu nasepa. Nawahi wananchi wangu ktk mji huoo. Wengi wamechangia vzr, lkn kwa bahati mbaya sana, wengi wana "uelewa" mdg naomba nieleweke hapo sina maana ya kuwa hawana akili, no, ila kujua km kweli mwanamke anakupenda ama laa. Kwa kawaida, mwanamke huwa hapendi kwa...
  5. M

    Wema Sepetu: Sina Mpango wa kuzaa

    Eti.."vanilla is my bby.." nyonyonyonyonyooooo...ptfyuuuuuuuuuu..huna hata haya..kwani umeshindwa kumchukua mtt ktk kituo ki1 cha kulelea watt ukamlea km kweli wajua kulea ww..? Wee sema una mpenz dog..not a bby bich..!!
  6. M

    AJALI: Basi la Nganga na Fuso yagongana uso kwa uso na kuteketea kwa moto

    Yani hapo chanzo ni mwendo kasi tuu na kutokuwa na hekima kwa madereva wala hakuna kingine. Halafu inaonyesha mvua ilikuwa inanyesha so barabara lazma iteleze...so break za haraka hazishiki..
  7. M

    Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    nyaggad na Evelyn Salt mko nje ya mada, rudini tujadili kilichopo na sio hayo yenu binafsi. Maneno huonyesha hekima yako ilipo, so jaribuni kubadilika.
  8. M

    Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Agenda nzuri kweli na imechangiwa vzr mno. Ila kuna baadhi wanatumia maneno magumu wakati yapo ambayo yakitumika yataeleweka tuu. Aidha, mkuu mito umesema jambo halisi, wadada/wake wengi wa kariba hii hutoa penzi kwa wenza wao km zawadi, sawa sikatai kuwa mwili wa mwanadamu yeyote ni wa thamani...
Back
Top Bottom