Wakati watu tumeuza ufuta na mbaazi kwa bei ya kipuuzi halafu unamkuta kenge Mmoja anabwabwaja kama mende imekunywa sumu
Wengine ilitakiwa muwe mmefuata job ili angalau wabaki wachache wenye uelewa
Kwani kuoana dini tofauti imeanza Leo? Mara ngapi Muslim anaolewa na mkristu na mkristu anaolewa na muislam
Au mara ngapi watu wanabadili dini kulingana na mitazamo yao?
Acha fikra potofu haya maisha yameanza tokea zamani na hakuna kitachobadika
Hii hali ndiyo anayopitia mama mkwe wangu
Ila Mimi Huwa sihangaiki kabisa nilishajisema kama ni nyumba iuzwe tu
Jinsi ulivyoeleza ndivyo na mama mkwe wangu anapitia mpaka na kampuni ni hizohizo
Wewe kinachokuwasha ni Nini?
Kuna Cha kwako walichokiharibu?
Au katika hoja zao Kuna mahali wameilazimisha serikali iwape ajira?
Kama wewe ni mkulima, ni umejiajiri, au umeajiriwa endelea na harakati zako
Waache wengine waendelee na harakati zao kulingana na wanavyoamini wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.