Aisee ok kiongozi nashukuru kwa taarifa. Hivi vitu bila taarifa unaweza jikuna unakurupuka na mzigo kisha unaangukia pua, kifuatacho ni hasara na mtaji kufa.
Mimi nilitaka kujua utaratibu kwa anaenunua na kuweka stoo kisha kuuza baadae kwa mikoa ya katavi au rukwa au songwe/momba utaratibu upoje, mwenye uzoefu atupe madini/uzoefu
Unachotakiwa kufahamu ni kwamba, nje ya makato ya kodi ya jengo ya kila mwezi tsh 1,500/= fedha ngingine yote unanunua unit kwa aprox Tsh 357/= ikiwemo na kodi zote humohumo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.