Recent content by MjasiriamaliElimu

  1. M

    Hili wazo limekaaje?

    Hii naona haina tofauti na wanayoifanya mtaani.Unakopa laki kwa mwezi unamlipa laki na 20.Ukishindwa mnaweza kukubaliana akapokea 20 kama faida take na mkataba wa laki kwa laki na 20 unabaki palepale.Tofauti hapo itakuwa kuandikishiana kisheria.Unaweza boresha kwenye hiyo asilimia 15%japo wengi...
  2. M

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Chukua ndevu za mahindi zikaushe au zichemshe na maji yake MPE anywe kila siku asubuhi na jioni ndani ya wiki atakuwa ameacha
  3. M

    Naombeni ushauri

    Ukipewa mbegu za papai utazifamyia nn? Ukiwa na jibu zuri niPm.
  4. M

    Niliacha chuo ili nifanye biashara, sasa mtaji umekatika sijui nifanye nini?

    Pole sana ndugu.Inaonekana kibiashara hukufanya kitu kinachoitwa upembuzi yakinifu.Aina ya biashara uliyoichagua uliichagua kwa sababu tu uliona una mtaji mkononi. Lakini pia inaonekana hata kwenye juhudi ya kile unachokifanya bado Nina mashaka kama unaweza kufanikiwa kwa sababu.Kwanza katika...
  5. M

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Mbona mtaji unao tayari.Zote hizo unaweza kuzifanya.Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya ukipata kijana vifaa vya mambo ya kucha havizidi laki na nusu.Ukiamua kuanza na yale makontena ukapata kijana anaanza mdogo mdogo juisi,maji na soda kwa kununua barafu na kulipondea huko haizidi laki 2 na...
  6. M

    Natafuta vifungashio vya plastic

    Kama uko Dar nenda K'Koo pale soko la Mbogamboga ulizia kwa Mhindi wanakouza Vifungashio ukifika tatizo lako litakuwa limekwisha.
  7. M

    Nataka kuiona nguvu ya milioni 2 kwenye biashara mpya

    Tafuta vijana 20 nunua Katanga watembeze na kuleta salio kila siku elfu 10 Fanya hesabu mwenyewe hapo
  8. M

    TAASISI ZA BIASHARA YA FEDHA

    Well said Mkuu. Nami nilikwisha wahi kukumbana na kadhia kama hii.Hii ilikuwa Tigo miaka kadhaa iliyopita nililipishwa Tsh elfu 6 na ushee kupata hiyo statement.Jana nilitamani kupata nyingine lakini nilivyokumbuka hiyo elfu 6 na kitu nikaamua kutulia. Inasikitisha kwa kweli, Kampuni kama hizi...
  9. M

    Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

    Fanya Biashara inayotrend sasa hivi mjini na vijijini ya Kutengeneza Mifuko mbadala.Imagine una kakiwanda chako kidogo cha mashine za kichina na kuzalisha halafu unasuply nchi nzima.Ukitaka kufanikiwa fanya hii ukitaka kupoteza muda endelea kusoma ideas.Ukipendezwa na hii nicheki...
  10. M

    Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    mchepuko wa mkulu, Nenda pale Machinga Complex kuna vijana walimaliza chuo miaka kama miwili iliyopita wanafanya hiyo biashara,utajifunza na kujua mengi.Sijawahi fika hapo ila niliwaona wakitangaza kwenye kupitia Tv.Nenda waulizie.
  11. M

    Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

    Kwa wiki zaidi ya 200k ni nyingi sana na hapo upo single ukioa utajuta.Jaribu kubana matumizi kwa kuangalia vitu vifuatavyo: Gharama za kupika kama uko single au MTU mmoja ni juu sana kuliko mkiwa wawili au watatu kwani nishati inayotumika kupikia ni ile ile na Mara nyingi chakula hubaki na...
  12. M

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nikisema ufanye biashara sasa utapoteza focus ya masomo yako.Unatakiwa uwe makini na masomo yako na kusoma kwa bidii.Hiyo hela tafuta MTU ambaye anafanya kitu unachotaka kufanya:wako watu wengi tu wanaofanya kilimo.Wekeza kwao wewe uwe unahusika kwa namna fulani tu.Biashara inahitaji...
  13. M

    Nataka nianzishe foundations yakusaidia wanawake

    Hapa Mkuu naona umekuja na mhemko zaidi kuliko kutafuta suluhisho. Kwani ukitaka hayo unayotaka yatokee ni lazima ufungue NGO? Mi naona we anzia hapo ulipo.Onesha umefanya nini mpaka sasa kuhakikisha jamii inabadilika,sera inabadilika, na unayoyaona au kutaka kubadilika yanawafikia watoa...
  14. M

    Mtaji milioni moja laki saba. Nifanye nini ndani ya Dar nitoke

    Wekeza kwenye biashara ndogondogo.Ukipenda ni PM tuyajenge.
Back
Top Bottom