Recent content by Mjasiriamali M

  1. Mjasiriamali M

    Used Colored Photocopy Machine From Uk, Inauzwa

    . Haijawahi Kutumika Tanzania. Ina Uwezo wa Kutoa Copy Nyeusi na za Rangi kwa Spidi ya Karatasi 32 Kwa Dakika. Ipo na Wino wake wa Ziada. Njoo Ujiridhishe Uchukue Mashine Hii Nzuri kwa Ajili ya Ofisi au Biashara yako na Utapata na Wino wa Ziada. Make: Canon Model : IR C3200N Analog / Digital...
  2. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Ulikuja Leo? Tumeenda Vizuri Though Wengi Niliowaita hawakuja. Nadhani Kesho Ntamalizia na Batch ya Pili Then Tutachagua wa Kuendelea Nao.
  3. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Habari za Jioni Dear All, Hope Mpo Salama. Alhamisi Kuanzia Asubuhi ndio tunatarajia Kuonana Ili Ku Chat Mawili Matatu (Sort of Interview), Nimeomba Ka Eneo Barabararani Kabisa ili Iwe Rahisi Kwa Kila Mmoja Kufika. Kuanzia Sasa Wengi wenu Mliokuwa Interested na hizo nafasi mtakuwa mnapokea Text...
  4. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Ukiwa na Laptop ni Bora Zaidi Coz Huu Umeme wetu Haukawii Kukuangusha. K Ofisi Ni Kadogo na Kamebana Mno, Ku Accomodate Watu wengine zaidi ya Wawili Haitaweza, Thus ni Bora Mtu Kuifanya Home Tu Hata Kwa Desktop yako coz wengi tulianzia Huko Huko.
  5. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Mimi ni Tricky Writer, Naandika Kulingana Na Upepo wa Hela Unapoelekea, Uki Learn Kutoka kwangu Hata Choice ya Maneno yako ktk normal Life yatakuwa ya Kijasiriamali Zaidi.
  6. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Kwa Kuzingatia Umuhimu wa Training Yakupasa Uwepo Dar Ili Upate Ka Msasa Kidogo kabla ya Kuanza Kazi Rasmi.
  7. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Ingekuwa Hakuna Training Basi Ingekuwa Si Lazima, Unless U Prove 100% Unawea Kufanya Vile Nnavyohitaji mimi bila kupata ka Msasa Kidogo.
  8. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Ofisi ni Karibu na Chuo cha Bandari, Tandika Magorofani, Temeke, DSM
  9. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Training ni Kuanzia Saa 4 Asubuh Hadi saa 9 Mchana, Ofisi ni Karibu na Chuo cha Bandari, Tandika Magorofani, Temeke, DSM
  10. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Wala Usijali Mkuu, Ni Pm Namba, May B we Can Work Something Out....
  11. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Usisikitike Ndugu Yangu, Mungu Yupo Huenda Zikaja Nafasi Nyingine Bora Zaidi ya Hizi... Unaweza Ukawa Na Elimu Ndogo Ila Ujuzi Mkubwa (Mungu Amekupa) so Piga Moyo Konde na Kuwa na Imani, Ipo Siku.
  12. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Habari za Leo wana JF. Mimi ni Mjasiriamali ambaye natumia Muda wangu mwingi kwenye Shughuli za Mtandaoni. Nna zaidi ya Miaka 4 sasa Nimekuwa Nikifanya hichi nnachokifanya, Namshukuru Mungu Life si Baya. Nna Plan ya kufanya mambo kama matatu tofauti kuhusiana na Issues za Online, Napenda...
  13. Mjasiriamali M

    Tanzania kukua kiuchumi haraka

    Naona Serikali ya Awamu ya Tano Imekuja na Neema za Aina Yake, Maana Tulizoea Kushika Nafasi za Juu katika Mambo mengine ambayo si ya Kuvutia sana au ya kimaendeleo Kwa Hili, Big Up Watanzania Wote... " According to this new statistic shared by the International Monetary Fund IMF, Tanzania is...
  14. Mjasiriamali M

    Nna hitaji Desktop Computer

    Habari za Leo Wakuu, Hope Mpo Salama. Nnahitaji Desktop Computer (Complete) yenye hali nzuri angalau Ram 2, hdd 120, processor 2.0 kwenda juu. Budget iliyopo ni Tsh Laki 2, Yaweza ongezeka kulingana na Hali ya Computer Husika. Kama unayo waweza nitafuta kwa cm 0719 44 72 04(Whatsapp) nitumie...
Back
Top Bottom