Recent content by mjasilia

  1. M

    CCM mumeona nchi jirani wasemavyo kuhusu Rais Magufuli?

    Common we need to close [emoji359] our country boundaries, hili halihitaji mjadala wowote.. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Sasa hivi wamegundua sisi black people [emoji1665] we are super race in the world.. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

    Una sifa za kufanyiwa unachotaka..? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Airtel Kwa hii spidi yenu ya internet HAPANA

    andoza, Airtel ni washenzi sana..! wateja wengi ila kuwahudumia hawawezi.. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Chumba master sebule na jiko vinapangishwa Kimara

    Ishiii potelea mbali huwezi kuwa mshenzi hivi eti kisha anaogopwa admn shubamiti.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Kwanini viongozi wengine wa CCM hawaendi kumuona Mzee Mangula hospitali?

    System.. [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Chumba master sebule na jiko vinapangishwa Kimara

    Hivi we kenge ulishawahi ata kujenga banda la kuku au unaongea upotolo tu hapa.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Chumba master sebule na jiko vinapangishwa Kimara

    Unaongea vitu ambavyo havijawahi kuexist nahisi labda huna kazi ndiyo maana unaprolong mazungumzo yasiyo na maana. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Chumba master sebule na jiko vinapangishwa Kimara

    Ipo uzi huu umefanyiwa editing mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Chumba master sebule na jiko vinapangishwa Kimara

    Unaongelea kimara ipi ndugu, naomba hiyo chumba ya 120000 chumba master, subule na jiko, halafu dk 4 kuja morogoro road ni mlipie ata mchepuko wangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Chumba master sebule na jiko vinapangishwa Kimara

    Ndugu, ni share holder kwa mjibu wa mkataba wa sasa, natakiwa kuhama naenda mikoani sasa nimelipa kodi juzi kati hivyo mwenye nyumba kaniambia nitafute mpangaji naye anatafuta pia. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Kwa mahitaji ya nyumba, chumba, kiwanja au fremu ya biashara Arusha, nitafute

    Nyumba bado ipo! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Chumba master sebule na jiko vinapangishwa Kimara

    Picha zinagoma kuapload fanya nikutumie picha kwa whatsap km unataka, acha uoga mkuu ukitapeliwa inakuwa ni size yako na uzembe wako. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Chumba master sebule na jiko vinapangishwa Kimara

    bado nyumba ipo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Ata mimi nina imani ya hivi tutaishia kuwa carrier tu, mgonjwa wa kwanza anakwambia siumwi chochote. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom