CCM mumeona nchi jirani wasemavyo kuhusu Rais Magufuli?

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
842
2,467
Hivi ndio TV za nchi jirani zinavyo m-describe Mzee Baba, kama mtu MKAIDI.

Je, mkaidi ni mtu wa aina gani? Huyo kwa kiingereza ni Stubborn na huwa hafai kwenye jamii kwani aweza kuleta madhara makubwa.

Kwa vile hayo yamesemwa sana hapa ndani na wapinzani wake na kitengo cha propaganda cha CCM kulivalia njuga jambo hili, ni wakati sasa Polepole na timu yake kupambana na majirani zetu wanaomwita Mzee Mkaidi kwa nguvu ileile wanayoitumia humu ndani.

Ila jambo moja la kujiuliza ni kuwa kwa nini kila mtu na akili zake anapata picha kuwa Mzee ni Mkaidi?

patrickolesosopi___B-C0q70F6eb___.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anadhani Corona imeletwa na UPINZANI kudhoofisha Uchumi wa TZ ndio maana anataka watu waendelee kupiga kazi tu....Ili kuwatoa hofu watu Producer wa Kihindi BAR_SHE_TE akaanda maSterling wake FATUMA na SALAMA wakacheza movie kuwaaminisha watu Corona sio kitu chochote ni ugonjwa wa kawaida tu baada ya Siku mbili BABA LAO kaja kuhitimisha watu wapige KAZI.
 
Hii ni coordinated move kati yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga hudhani ni ukaidi, welevu wanajua nini maana ya kuendelea na kazi.

Watu warudi kufanyakazi majumbani mwao, Maofisini shambani na viwandani.

Anayekaidi kufanyakazi kwa kusubiri corona virus, atakufa na njaa.

Jikinge na mikusanyiko isiyo ya lazima.
 
Mbona Kenyatta mlevi sisi hatumsemisemi? Kwahivi wanataka angewaambia wananchi wajifungie ndani? Ili wale nini?

Msimu wa kilimo ndio huu watu wajifungie hata shamba wasiende? Wanataka tuteseke njaa kama ile inayowatesaga wao?

Kenya wana wasiwasi na spidi tuliyonayo tutawapiku kimaendeleo na siku hizi hatuwakuzii uchumi wao kiboya, hawapati cha kazi huku wala bidhaa zao kuingia kimagendo ndo mana hawamfurahii rais wetu.

Wapambane na korona kivyao nasisi kivyetu.
 
Wajinga hudhani ni ukaidi , welevu wanajua nini maana ya kuendelea na kazi.
Watu warudi kufanyakazi majumbani mwao, Maofisini shambani na viwandani.
Anayekaidi kufanyakazi kwa kusubiri corona virus ,atakufa na njaa.
Jikinge na mikusanyiko isiyo ya lazima .
Ujikinge na mikusanyiko wakati kakuambia jazaneni tuu misikitini na kanisani kwani ndio kwenye uponyaji? Au hujamsikia tukuwekee hotuba yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Kenyatta mlevi sisi hatumsemisemi? Kwahivi wanataka angewaambia wananchi wajifungie ndani? Ili wale nini?

Msimu wa kilimo ndio huu watu wajifungie hata shamba wasiende? Wanataka tuteseke njaa kama ile inayowatesaga wao?

Kenya wana wasiwasi na spidi tuliyonayo tutawapiku kimaendeleo na siku hizi hatuwakuzii uchumi wao kiboya, hawapati cha kazi huku wala bidhaa zao kuingia kimagendo ndo mana hawamfurahii rais wetu.

Wapambane na korona kivyao nasisi kivyetu shubaaamikiki!!
Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii - JamiiForums

Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndio TV za nchi jirani zinavyo m-describe Mzee Baba, kama mtu MKAIDI.

Je, mkaidi ni mtu wa aina gani? Huyo kwa kiingereza ni Stubborn na huwa hafai kwenye jamii kwani aweza kuleta madhara makubwa.

Kwa vile hayo yamesemwa sana hapa ndani na wapinzani wake na kitengo cha propaganda cha CCM kulivalia njuga jambo hili, ni wakati sasa Polepole na timu yake kupambana na majirani zetu wanaomwita Mzee Mkaidi kwa nguvu ileile wanayoitumia humu ndani.

Ila jambo moja la kujiuliza ni kuwa kwa nini kila mtu na akili zake anapata picha kuwa Mzee ni Mkaidi?

View attachment 1396496

Sent using Jamii Forums mobile app
Makaidi ni wenyewe waliowakaribisha wagonjwa wa Korona nchini kwao na baadae kuanza kuhangaika namna ya kujinasua. Kwa ujumla Wakenya ndiyo walioleta Corona East Africa kutokana na ujuaji Mwingi.
 
Back
Top Bottom