Recent content by Mjasi1

  1. M

    Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi inabagua watumishi wa umma na ambao sio watumishi wa umma

    kwani mtumishi wa umma ni Mtendaji wa Kata na Mitaa peke yake?
  2. M

    Tudai uchaguzi wa haki badala ya kudai kuibiwa baada ya chaguzi

    hapo ndipo mnapo feli, kuwa bila katiba mpya hakuna uchaguzi?kwa style ya mawazo haya mtakalia mayowe tu kila kukicha badala ya kutumia mikutano yenu ya hadhara kwa manufaa bora ya watanzania nyie mnakalia migomo uchwara ,mkisusa wenzenu wanakula kilaini bila jasho.Tumieni mikutano yenu kwa...
  3. M

    Tume ya Uchaguzi iwe na mfuko wake na fedha zake

    Hizo fedha zake wanazitoa wapi?Mnataka wafanye biashara?
  4. M

    UCHAGUZI 2025: Nitapiga Kura na Kuilinda

    na wakala afanye kazi gani?
  5. M

    UCHAGUZI 2025: Nitapiga Kura na Kuilinda

    Tume inatekeleza majukumu yake kwa kufuata Sheria,Kanuni na Taratibu, hivyo hizo kura zinalindwa na na hizo sheria siku zote.Piga kura rudi nyumbani kaendelee na shughuli zako za kila siku.wewe ukilinda kura huyo WAKALA hapo kituoni kazi yake ni nini?
  6. M

    Kanuni na Sheria za Uchaguzi wa kumpata Rais wa Tanzania zibadilishwe

    Haya maoni ni vyema kama yangepelekwa Bungeni maana wao ndo watunga sheria hizi
  7. M

    Baada ya Uhuru, Tanzania imewahi kuwa na uchaguzi mkuu HURU na HAKI?

    Upinzani walishakuwa na Uchaguzi huru na haki lini?
  8. M

    NEC yajipanga uchaguzi ujao kuaminiwa dunia nzima

    Hongereni Sana NEC kwa kuendelea kujipambanua katika dira yenu kutoka kuwa chombo kinachoaminika ktk kusimamia Uchaguzi Africa mpka kuwa chombo Bora kinachoaminika Ulimwengu mzima.Hii ni dira yenye maono makubwa ambayo mnatanua WiGo sasa kutoka Africa sasa mmewaza zaidi ya Africa.kwa mipango...
  9. M

    ACT Wazalendo mlishiriki kubariki dhuluma ya uchaguzi uliopita; mshirika wenu anawaonesha rangi yake sasa, vumilieni

    Huko Konde wamedhulumiwaje? ungetuweka wazi kulikokuzungumzia udhahania
  10. M

    Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

    Mimi nimejiuliza maswali mengi,nilichogundua ni kwamba hawa jamaa wametumia jinsi wagombea walivyorejesha fomu zao za uteuzi. Nimefuatilia mgombea wa CCM alikuwa wa kwanza kurejesha fomu za uteuzi na mgombea wa Chadema alikuwa wamwisho kukabidhi fomu za uteuzi.ndio maana CCM imeonekana ya kwanza...
  11. M

    NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

    wacha kuongea bila ya kuwa na uhakika ndugu ngoja nikusaidie hyo namba moja ni ya Afrika Kusini,kuhusu tenda tembelea tovuti ya ppra kwenye Tender Portal au kwenye Tanzania Procurement Journal.usipende kulishwa matango pori ukafakamia tuu ,utavimbiwa
  12. M

    NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

    tatizo amejaa mahaba sana ,mambo mengine ni kutumia logic tu lakini wao wamekalia ubishi tu
  13. M

    NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

    yaani nyie aiseee nitatizo,nanyi nendeni JAMANA mkachapishe zenu
  14. M

    NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

    Mnyika hana jibu tena hapo kishakula za uso huyo
Back
Top Bottom