Recent content by Mjamaawatz

  1. M

    Halima Mdee: Natamani hali iwe ngumu sana mpaka tukose Bajeti ya Ikulu

    Ikulu ikikosa hela ujue bunge litakuwa liloshasimama miaka miwili kabla na halima atakuwa barabani na koti lake la kaki...
  2. M

    UVCCM wamvaa Kijo Bisimba; Wamtaka akatae ushabiki awe mpambanuzi

    Huyu mama Ndio yule wakipind cha uchaguzi aliyewatunza mahacker wa chadema na computer zao ????
  3. M

    Maajabu ya msanii Saida karoli .

    Ukiacha kufikiria hvyo... Utapata jibu kwa nn kabila lako nyimbo zake hazi-hit kama za saida.... Saida kaloli.. Alitakiwa kupata uwekezeji kama wa kipindi cha MUTA... akafanya kwa asili akapiga kambi kwao akachukua madini akayaleta mjini.. Anazofanya kwa sasa zitampoyeza tenah hila yule mama...
  4. M

    Ninaikumbuka ile CCM ambayo ukivaa sare zake unazomewa mitaani

    CDM wakosea 1. Kubadilisha anga angani bila kuwafikisha abiria wanakokwenda. 2. Kumchukua aliyekuwa UFISADI kwa maneno yao wenyewe. 3. Kuongea sana kuliko kutenda kazi ambazo wananchi wao wanategemea.. Watanzania walio wengi ni maskinj wanaoitaji urahisi wa maisha kuliko kile kinachoitwa...
  5. M

    Mkutano wa Umoja wa Afrika: Nchi 23 zaweka saini mkataba wa anga huru; Tanzania hatumo

    Skama mtu hujui mambo unatakiwa kuuliza kwanza... Sio kulaumu.. Wewe binafsi kama uwezi kuuza nyumba ili ununue gari.. Iweje kwa nchi kama TANZANIA...
  6. M

    Kutoka kinondoni -Biafra CCM na wembe uleule!

    Unamaanisha waliovaa nguo za kijan n polisi..au kalandika zinabeba wanaccm sijaelewa...
  7. M

    Waungwana wamvaa Joyce Kiria

    Umoja wa wanaume ofisi zao zipo wapi... ?? Hivi hiki kitengo kipo umojA.wa.mataifa... Kwa nn wanaume tusianzishe hii kitu... Hili twende sambaba hawa wezetu wanataka sasa kutupanda vichwani......
  8. M

    Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

    Wahaya siasa zimewafarakanisha utafti na ukienda bukba unajiuliz hv uku ndiko wanakotoka hawa watu kweli... Nasikia kulikuwa na collision kati ya mwalm na baadhi wa wahaya.. Mambo yakabadilika ghafla labda na hilo la passmark likaongezwa, Kwa sasa majumba yapo ndani ya mgomba.. Mjini...
Back
Top Bottom