Ili sheria ifanyiwe marekebisho kwasababu fine peke yake haitoshi na watu watakua wanatukana kwa kigezo cha kulipa fine na sifa ya kwanza ya adhabu ni imkomeshe mtuhumiwa ili asirudie kosa na kuwafunza wengine wasifanye kosa.
Bunge ndio chombo cha kutunga sheria ukumbuke hilo kwa hiyo hata...
Obama na malkia Elizabeth wanasadifu uelewa wako kwa hyo ni kheri hao maprofesa kuliko ww masikini wa fikra. Ndio ninyi mnaoshangaa maprofesa na kusema wanazidiwa kiengereza mpaka na watoto wadogo walio England.
Elimu kwako ni kuongea kiengereza na sio maarifa basi hata Wema Sepetu ameelimika...
Cha ajabu hata uiengereza wana dini yao ya Anglican sio zetu tulizoletewa na wameelimika mpaka walitutawala ila wanaongozwa na ukoo wa kina Elizabeth bila kuhoji kwann ukoo mmoja tu ndio uwatawale? Na malkia Elizabeth uiengereza anatukuzwa kama mungu vile ni lazima tukubaliane kua hatuwez kua...
Tunataka ziara za kuleta maendeleo kama hizo na si za uchochezi leta madawati leta cement leta huduma kwa jamii na utuambie mikakati yako sio unakuja kutufundisha jinsi ya kuchukia kila linalokuchukiza ilihali watoto wako wapo nje ya nchi hatutak unafiki na sisi tunataka maendeleo hatutaki...
Ni upumbavu kuamin kua marekan ndio mkombozi wa matatizo yako ya serikali kwa sababu wao hawaji Africa kuomba ushauri au usaidizi kwa nchi yoyote juu ya matatizo yao.
Waafrica tunabaguana wenyewe kwa wenyewe kisha tunaenda kwenye nchi za magharibi kuomba back up ya ujinga wetu.
Acheni ubaguz wakuja ndio nn kwa maneno yako unadhihirisha Cuf ni chama kilichojengwa kwa misingi ya kibaguzi ilihali zanzibar kuna wanzibar na wazanzibara. Siku Cuf wakitwaa Zanzibar kwa maneno yako ya kibaguz Unguja na Pemba zitatengana. Rudin mkamsikilize mwl. Julius Kambarage Nyerere acheni...
Ikiwa ni kweli pia ni jambo jema kwa maana Chato ni Tanzania pia na pakiendelezwa patakuja kukusaidia mpaka ww ulieleta uzi huu ila kama angesema zikajenge uwanja Burundi tungehoji.
Uwanja ukijengwa Chato maana yake utasaidia Geita nzima na Shinyanga.
Ni sawasawa na uwanja uliopo ilemela si...
Mkutano wa rais unaweza ukazuiwa endapo itabainika mazingira yaliyopangwa kufanyika mkutano huo hayapo salama kwa usalama wa rais na si kauli za rais. Kuhusu kauli za rais na hotuba zake ni suala jingine ambalo lipo chini ya mamlaka nyingine na si Jeshi la polisi.
Tatizo hatuna kipimo cha kuthibitisha kua hoja walizotoa jeshi la polisi ni za uongo au sio za uongo, masuala ya ulinzi na usalama hua hayahitaji siasa mkuu.
Kuna watu wanalalamika juu ya vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya mikutano ya hadhara ya operation linda demokrasia na kwenda mbali zaidi na kuanza kuhoji kama kitendo hicho cha kuzuiwa na jeshi la polisi kama kipo kihalali kisheria.
Majibu:
Section 5 & 7 ya police Auxiliury Act, imelipa jukum...
Wana iabuse kivipi mkuu kwa sababu huenda mimi na wewe tukawa sio wahusika wa jeshi la polisi kwa hiyo tukawa hatuna uwezo wa kutambua viashiria hivyo ifikie kipindi tuwaache polisi wafanya kazi yao na wanasiasa wafanye kazi yao.
Unakumbuka mwaka jana jeshi la polisi liliposema Amboni kuna...
Section 5 & 7 ya police Auxiliury Act, imelipa jukum jesh la polis kusimamia aman na kuzuia viashiria vinavyoweza kuleta uvunjifu wa aman
Ikisomwa pamja na national security Act, public order Act, penal code kifungu cha 74 nadhan,, vinalipa jeshin la polis nguv hiyo
Bara lenye mwanga chama kinamteua mke wa aliyekua rais kua mgombea ila wao hawaoji na kusema kile chama ni cha familia
Bill Clinton
Hillary Clinton
Democratic party
Jiulize ingekua Africa kelele zingekuaje.
Au ile familia ya ElizabethII ingekua Africa ingekuaje?
Kila nchi na utaratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.