Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Its time sasa watu wangalie tafsiri sahihi ya Mwenye kiti wa chama tawala ktk nchi ya kijamaa. Kwanza kote duniani hata kwa waliojifanya wana dini na kumwamini Mungu tofauti na chairman wa chama, ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA M/KITI , MWENYEKITI NDIE MWENYE FIKRA SAHIHI hainajadala. Ktk ujamaa ni makosa kuhoji fikra za m/kiti. ni kufuru mshtaki Mwenye kiti . Itakuwa kashfa(kufuru) mna fuatilia tabia km za Ccm , utasikia mashitaka bungeni, polisi mitaani na Raia issue zikiwa ni kumkufuru rais(m/kiti).
Ktk mchi ya kijamaa Mwenye kiti ni mungu tena mkubwa kuliko Mungu. Shukrani zote ni kwake, pongezi zote ni kwake, maombi yote ni kwake.
Rais anaamini Raia wote ni watoto wake na hawawezi jitawala na hivyo, atawapimia cha kupata ktk habari, atawasaidia kutafsiri wa usipotee au kusikia maadui wasio enda amani kwa kuwa fungua akili na hivyo mkakarika na kuachia na upuuzi.(fikra sahihi)
Ktk.nchi yetu kwa vile Mwenye kiti ndie huwa rais. Bado Raia hutumia zaidi wasifu wa rais ktk ibada zote. Ila ikitokea m/ kiti akawa aje rais, basi tunaweza pata sura malkia na waziri mkuu, Ayatoula na rais kule iran. Na huwa inasumbua sana ktk ibada za wanachama na mara nyingine, miungu hii.itakuwa ktk vita ya kuabudiwa.