Recent content by Mizizi

 1. Mizizi

  Padri wa Kanisa Katoliki nchini Canada ashambuliwa altareni na kuchomwa kisu wakati wa misa

  JF habari zenu inaonekana hamjitambui. Tafsiri ya Baseball hat ni Kofia? Nia ya jambo hili ni nini?
 2. Mizizi

  Gari la Mbunge wa Kibiti lakamatwa likisafirisha magendo

  Nilidhani ni gari lake la kutembelea, kumbe gari la Mbao? Sasa mnataka kutuambia Mbunge anaweza kufuatilia magari yake yamepakia nini mda wote? Je, na hizo mbao ni za kwake? Makosa hayo hayawezi kuwa ni ya kwake moja kwa moja kwa sababu tu eti gari ni Lake.
 3. Mizizi

  JamiiForums Usiku wa manane

  Anatakiwa Dr huku ashauri nini cha kufanya
 4. Mizizi

  JamiiForums Usiku wa manane

  Wakeshaji wameongezeka kutokana na stress za maisha
 5. Mizizi

  DAR: Akram Aziz akamatwa, afikishwa Mahakama ya Kisutu. Ana makosa 75!

  Watanzania Tumenyimwa elimu ya vitu vingi sana. Na ndio maana tumekuwa wapayukaji tu na washangiliaji kwa kila kinachotokea bila kujua uhalisia wake. Hiyo elimu inayohusu uwimdaji hatujui kitu. Tumekuwa wasemaji wa tusiyoyajua. Ni vyema ukipata jambo jipya kujifunza kwanza kabla ya kuropoka...
 6. Mizizi

  Hujuma za makusudi dhidi ya ATCL zisifumbiwe macho

  Watanzania tuna matatizo makubwa sana. Tunapenda kusema na kufanya mambo tusiyoyajua na kuyaweza. Na tunaacha kuyasema na kuyafanya yale tunayoyaweza. Vizazi vinavyokuja ndio shida kuliko vizazi vilivyopo. Haya yote yameandaliwa kwa makusudi maalumu na bado hatushtuki
 7. Mizizi

  MwanaHalisi: Kikwete akomba hazina! Fedha zilizopo hazitoshi kuendesha serikali hata siku 20

  Mimi nikikosa pedi huwa natumia Gazeti hili lililokosa mvuto.
 8. Mizizi

  Hawa ndiyo vijana wa Lowassa waliokamatwa na Polisi

  Hawana Mamlaka ya kutangaza matokeo, kuhakiki sio tatizo
 9. Mizizi

  Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

  Andamaneni, Mle kipigo magazeti yapate cha kuandika. na picha za front page za jasho na damu. kweli Mkapa hakukosea kuwaita Malofa
 10. Mizizi

  Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

  apige kelele, Mwisho ng'ombe zinamsubiri....Ikulu sio machungani
 11. Mizizi

  CHADEMA: Kauli rasmi kuhusu yaliyotamkwa na Dr. Willibrod Slaa

  Unataftaje Dola na Mgombea mwenye tuhuma Lukuki? nilikuwa naamini katika mabadiliko, lakini sio haya ya staili hii. Viongozi wamevuruga chama, wamevuruga harakati za mageuzi Tanzania, tusubiri tena kwa miaka 10.
 12. Mizizi

  Mtoto wa Hayati Julius K. Nyerere, John Nyerere yupo wapi?

  nadhani Makongoro anaweza kutuvusha kama taifa... tusubiri muda ufike...
 13. Mizizi

  Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa

  Kibabu kimeshamalizwa na sukari watu wanakula Mzigo ana Mind...
 14. Mizizi

  Haya yananifanya nisijiunge na king'amuzi cha Azam

  utanunua Condom za azam.. maana unapenda kukazwa
Top Bottom