Recent content by Mizega

  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

    UNAMTAFUTA WA NINI ? AONEKANE ILI IWAJE
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Padre Kitima kuna watu wanapata na walishapata uonevu mkubwa hapa Duniani kuliko wa yeye kuvamiwa na kupigwa

    Hivi jumapili anaendesha misa wapi tukatoe shukrani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

    amebaki na Gari L/c na nguo za nyinyiemu 😁😁
  4. M

    JamiiForums Tanzania Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

    Kwakweli kikee ni Zero kabisa, hana impact yoyote amebaki kuwa chawa na kupishana na wakubwa kwenye makorido ya lumumba akiomba cheo, hovyo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wamesahau Kazi za Muhimili Wao, Wamebaki Kusifia Muhimili Mwingine

    Samwel sita na Anne Makinda ndiyo ma Spika wa bunge waliowahi kutokea tanzania, hata hamu ya kuangalia bunge ilikuwepo
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

    Tanzania imekuwa nchi ya hovyo ! Nchi ya kuuana sababu ya kupishana kisiasa. Badala ya watu kujibu hoja wanakufuata kukuua. Inatuuma
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

    Mpaka hapo mradi wa utekaji ni mradi wa mwanasiasa mwenye mamlaka. Vinginevyo Wambura asingekuwa ofisini
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta frem mabibo sokoni

    Kama inavyotajwa hapo juu, ninahitaji frem ya biashara mabibo sokoni kwa ajili ya biashara ya nafaka, hata nje ya sokoni pembeni mwa barabara fresh. Kama unayo njoo na ofa yako inbox. Salaam
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara gani naweza kufungua karibu na Mahakama??

    Bangi iliyosagwa kwa ajili ya polisi wawapo lindoni, maana akili zile siyo zao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mteue haraka Paul Makonda au Humphrey Polepole kuchukua nafasi ya Amos Makalla

    Hakuna CPA pale , ni makamasi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mteue haraka Paul Makonda au Humphrey Polepole kuchukua nafasi ya Amos Makalla

    Wasira mtoto wa mjini ? Makala ni wa mji gani?? Wewe bogus kweli
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Lissu na wenzake hawana ubavu wa kuzuia uchaguzi

    Makalla bwana, ananenepa mashavu na kichwa huku ubongo kiduchu kama kuku
  13. M

    JamiiForums Tanzania Njia mbadala za kupunguza uzito

    Salaam. Wadau naomba msaada wenu wa njia mbadala wa kupunguza uzito , tunafanya Mazoezi lakini matokeo yake ni kidogo sana. Kama kuna Mdau mwenye ushauri mzuri kuhusu suala hili atusaidie au Kama kuna supplements salama za ku boost kupunguza uzito aweke bayana. Asante
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mawe kwenye figo

    Shida yangu sasa ni kupunguza uzito, Mazoezi nafanya lakini matokeo ni madogo sana. Naomba I ushauri wa njia mbadala
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mawe kwenye figo

    Ahsante ila tayari nimepewa dawa na daktari. Alisema dawa alizonipa zinayeyusha mawe na hivyo hayatatoka mazima mazima yatatoka kwenye mkojo
Back
Top Bottom